Habari wakuu,
Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF.
Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo...
Mimi bado newcomer hapa, japo nimeshacreate nyuzi tayari, mimi ni MWANAUME!, maana kuna mwamba kaja inbox eti "Heisenberg wewe wa kiume au wakike"
Asanteni sana.
Hi mm n mgen humu.......lakn kuna watu nliokuwa nkfuatlia thread zao kama....Mlevi mmoja,,Zero IQ,,Father of all sniper,,Mother confesser,,Goite,,Sir khan,,Kiduku Lilo na wengne wote naomba...
Hi everyone in,
My name is Junior, I am from Dar es salaam, specifically from Osterbay.
Kwa kweli nimefurahi sana kujumuika na my fellow Tanzanians ktk forum hii japo niweze kujua mambo...
Hodi wana jf na great thinker's wote mm n mgen humu ila kuna watu nilikuwa nafatilia thread zao kama....Zero IQ,,Goite,,,Mlevi mmoja,,Father of all Snipers,,Mother confesser na wengne wote naomben...