Hodi humu ndani ,natumai nitajifunza mengi ,Nitawafunza mengi.......Sasa hivi Siyo kuhadithiwa yanayotukia humu ni mwendo wa mubashara .
I love you All ...I expect warm welcome...If yours Is Cold...
Natumai Nyote ni wazima wa afya na aliekuwa si mzima basi Mungu atamponesha.
Kama Username ilivyo, ni Tour operator ambayo ipo visiwani Zanzibar.
Tunapenda kuwakaribisha wale ambao wangependa...
Nina app ya jamii forum na nilishawai kujisajili tena vizur san lakn kutka na sim yangu kuibiwa nikanunua sim nyinge kwhio nakainstal tena upya app ya jamii forum lkn kuna tatzo linanitkea kila...
Habari ndugu na jamaa wa jamii forums mimi mwanachama mpya naomba kukalibishwa
Shughuli zangu ni fundi umeme wa majumbani na viwandani
Na tunafika popote kama hutatuhitaji hasa kanda ya ziwa kwa...
Leo nimefurahi kupata "approval" ya kuwa member wa Jamiiforums. Mnipokee kwa mikono miwili kabisa mwanachama mpya.
Hope tutakutana katika majukwaa mbalimbali ya jamvi hili.
habari za wakti huu wapendwa.... kiufupi nimekuwa guest visitor wa jamii forums kwa kitambo kirefu tangu nimeijua sep.2017...kiukweli ni sehemu murua ambayo imenijuza mengi sana ambayo ni adimu...
Nianze kwa kutoa pole kwa jeshi la polisi Tanzania na familia nzima ya wafiwa juu ya msiba,uliosababishwa na ajari ya gari, Mungu Baba awapumzishe mahari pema