Hellow Marafiki naitwa Daniel John, ninafuraha kujiunga hapa, naandika hadithi mbali mbali nimeanza na kuposti hadithi ya .. Kwanini Mimi nategemea sapoti kubwa toka kwenu. asanteni kwa ushirikiano.
Natumia jina la AFYA YA MAMA NA MTOTO, kwa sababu hicho ndo kitu ninachodeal nacho, nimeanzisha magrup ya facebook instagram na youtube channel inayoenda kwa jina hilo la Afya ya mama na...