hi! kwa majina naitwa Calvin de Charzy(C.d.C). naishi mkoa wa Arusha Tz. pia ni mjasiriamali mdogo.ni miaka isiyo pungua 21. tutajua zaidi tukiendelea kuwepo humu ahsanten! i need ur support..
Habari za hapa JF mabibi na mabwana..mimi ni mgeni niliyefika hapa miaka mingi iliyopita pasipo kujitambulisha (Mlowezi), naomba kibali niendelee kuishi hapa kwa sababu nimepaelewa sana.