Kiukweli app hii kwa mara ya kwanza nili ifuta baada ya kuna haina faida katika simu yangu, lakini sikujua kumbe inafaida kiasi hiki kwa sasa nimeamua kujiunga lasmi kwa moyo wangu bila...
Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni
Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee
(NINAMASWALI KIDOGO)
-Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni...
Shikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5...
Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo...
Mimi ni mgeni. Hodi!
Najitambulisha kwenu waungana nipokeeni. Nimejiunga kwa malengo mengi tu, ikiwa ni pamoja na kukutana na watu serious ili kama Mungu atatupa kibali basi nipate mke humu...
Jamani wewe admin sijui moderator please approve me...
Naombeni msaada please... siwezi ku comment
I am a new member
Asantenii [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ni sauti toka milima ya sayuni,
Kama Ujumbe ulivyo mjia Musa,
Nami nikaupata vilivyooo.....
"Ewe Mangi, nakuagiza mara moja ufunge JF, ujiunge na uwape Jumbe zangu kila nitakavyo"
Akazidi...
Hello Pipooo...
Happy new year!
I am new here..
Here to socialize ,laugh and learn
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Shukrani sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF ambazo hazikosi kupatiwa ushauri au majibu ya uhakika kutoka kwa watu mbalimbali wenye elimu ya kutosha kuhusiana na...