Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habar wana jf Mimi kijana mwenye kiu ya kutaka kujua lugha ya kigen inayo trend dunian ( Kiingereza). Kama headline inavosema naomba kujua RAS SIMBA kweli anajua kwa wale waliopita kwake na je...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wenyeji naombeni mnipokee mi mgeni wenu wa kudumu asante
1 Reactions
3 Replies
991 Views
Greetings! I am shy and I know very little about Tanzania or Africa. I am hoping to learn Swahili! Hopefully at least a little bit. I am Muslim.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hodi,wenyewe mpoo? Miye mgeni wenu humu nawaomba mnikaribishe humu na mnipe ushirikiano.
1 Reactions
5 Replies
684 Views
hABARI
1 Reactions
9 Replies
708 Views
Habari ndugu. Mimi ni mgeni. So Kama una tatizo la mtandao wowote karibuni tutasaidiana kutatua pamoja na kushirioiana na mitandao husika karibuni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
New member wakuu ukaribisho plz
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Napenda sana kujifunza vitu vingi,najua nitaongeza maarifa kupitia humu.asanteni wakuu
1 Reactions
13 Replies
775 Views
Hello
0 Reactions
8 Replies
707 Views
0 Reactions
6 Replies
812 Views
baada ya kuhangaika mnoo hatimaye nimejiunga na jamii forums sasa nitaweza kuwasiliana kwa karibu na baadhi ya wanajukwaa niliopata kuvutiwa na thread zao kama mshana jr,gudume,gentamyn...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tangu mwaka 2016 nimekuwa msomaji Wa habar mbalimbali jf bila kuwa member kamali lkn Leo namshukuru mungu kwa kuwa member.my take no kwamba nitajifunza mengi maana najua jf imejaa watu wenye hali...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo.
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Ntashukuru nikiungwa kwa Hilo group
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawaslimieni member wote wa JF mana nikitambo sijaingia humu toka nitapeliwe kasimu kangu nilikokapata kwa jasho na damu. Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi nmerudi kwenye jamvi kwa ajili ya kupata mambo moto moto..
0 Reactions
8 Replies
873 Views
Hodihodi jamani, mnipokee mgeni
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mie mgeni kabisa
0 Reactions
4 Replies
571 Views
Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mm ni #member mpya wa jamii forum
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…