Nauza camera yangu aina ya sumsung bei laki moja na nusu (150,000). Mazungumzo yapo kwa aliyenauhitaji. Mambo ya uchumi yamenibana sana mpaka nauza camera yangu
Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya...
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
Habari za Leo wadau
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, ninao kuku Wa kienyeji ambao ninauza ,kuku ni wakubwa sana majogoo yanafika mpk 6kg na wapo Wa 5kg
Bei ni 20000Tsh kwa Wa 5kg na wakubwa...
Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo...
Baada ya kuwa tumeimaliza tamthilia pendwa ya SULTAN Jana Azam TV wametambulisha tamthilia mpya ya wounded love ikiwa inausisha baadhi ya washiriki waliokuwa kwenye tamthilia ya Sultan.
Nasemaje...
Dalali yoyote mwenye nyumba yenye sifa hizi katika eneo husika kuna jamaa angu anahitaji hadi kufikia tarehe 1.
Vyumba 2 kimoja masta itapendeza zaidi japo hata Vi3 ni sawaa.
Sebule, Jiko na...
Naomba mtu anaefahamu wapi naweza kupata jiko la namna hii hapa Dar es salaam anijuze...
Jiko hili linatumia gas nq lina mawe maalumu yanayokaa mpaka miaka5.
Nimejaribu kuulizia lakini nimekosa...
habari wadau.. chumba kimoja kinapangishwa ubungo karibu na mabibo hostel..
bei elfu 60. malipo miezi sita..
kipo ndani ya fensi, umeme wa kushea na maji ya kushea bili ya
dawasco.
0692 275 229