Karibu katika mafunzo ya online ya electronics kwa lugha ya kiswahili.
Tunafundisha ubunifu wa vifaa mbalimbali vya kielectronics
Kuunda control
Timers
Digital system
Frequency device
Inveters...
Wakuu, nauza vifaa vilivyo kwenye gear box ya Rav4 4WD, Engine type 3s ya 1995
Gear box nimeishusha juzi nikapachika mpya kwenye gari yangu.
Mawasiliano: 0652902994
Nahtaji pesa ya fasta, Used 2 moths, unapewa kila kitu mpaka box,
Location, Dar
Kama unazani ni kopi au kasha tukakabidhiane POLISI ili usiwe na wasi wasi
TURN NIGHT TO BRIGHT(POLARIZED VISION GLASSES)
Ni miwani mizuri sana kwa madereva wa gari na pikipiki,inasaidia kuona vizuri usiku ukiwa unaendesha ,kwa kupunguza mwanga mkali wa taa za...
==Kitanda cha mbao (5 x 6)
==kinauzwa bila Godoro
==Kipo mbezi, luguruni
==Bei 200,000/=
Sababu ya kuuza ni kwamba anahamia mkoani kikazi.
~Karibu PM kwa mawasiliano zaidi~
Kiwanja kimepimwa ukubwa 1200 mita za mraba
Hati zake zipo
Kipo mita chache kutoka Bagamoyo road
Bei ni Tshs. 30,000,000
Piga/Sms/WhatsApp +225784252741
Kiwanja kipo Salasala Kinzudi Dar es salaam
Ukubwa == Mita za mraba 920
Umbali == Kilomita 4 kutoka Bagamoyo road
Kina hati safi
Bei == Tshs. 27 mil. (Maongezi yapo)
Piga/Sms/WhatsApp...
Tunauza Kuku Wa Kula ama Kufuga kwa Bei Nafuu kama Ifuatavyo:-
1. Aina ya Kuku – #Sasso
Uzito – 2Kg+
Umri Miezi 3-4
Kabila – CHOTARA
Bei : Tsh 10,000/-
2. Aina ya Kuku – #Kuroiler
Uzito –...
Ni earphone zisizo tumia waya. Zinaendana na simu na tablet za sumsung na iPhone, iPad. Epuka usumbufu wa kujivika waya ndefu pasipo lazima. Zinafaa sana kwa watu wa kawaida, pia madereva wa...
This car is for sale. Automatic , petrol transmission 1996 model v8 . Its well mainted get it for just 19ml
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp...
Habari za saa wapendwa,
Husika na mada hapo juu, Kuna mzigo wangu (Academic letter) iko Mwanza (Nyamagana,Iseni), nahitaji kuisafirisha hadi Tanga (nilipo kwa sasa).
Nimeona kuwa kusafirisha...
Hello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji...
Mtungi wa kujazia upepo unazwa..
Umetumika mwezi mmoja tu
Una coper na sio alminium
Ukinunua unapata na hydraulic pipe na gun bure ..
Liter 100
Bei ni milioni moja na elfu hamsini tu
Call 0659204046
Habari zenu wana jamvi DAR-MAID CLEANING SERVICE (huduma iliyosajiliwa na yenye bima kwa wateja)
tunatoa huduma za usafi wa majumbani kwa bei nafuu mno. Bei zetu zinaanzia 8000 -mpaka 19000 tu...
Nauza kabati la vyombo full mninga. Urefu na upana foot 6. Unene (thickness) centimeter 48. Ni piece 2 kwa urahisi wa ubebaji na usafirishaji. Bei laki 4 tu. Bei ya dukani si chini ya 1.5mil. Kama...