Habari za wakati huu;
Je wewe ni mjasiriamali mdogo na wakati?
Je wewe ni mjasiriamali unaeanza biashara?
Je unahifadhi vipi taarifa za biashra yako
Je unafuatiliaje utendaji wa Biashara yako...
Pine disinfectant ni sabuni ya kusafisha vyoo na kuondoa harufu kali za chooni na pia inaacha harufu ya pine ambayo inalast muda mrefu.
Penda choo chako utumie hii sabuni,hautojutia
Inapatikana...
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo:
-Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT"
-Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card.
-Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card...
Lina umeme, maji ya bomba pamoja na visima vya maji ya ziada, kuna nyumba mpya ya kuishi, kuna mabanda mazuri ya mifugo, miti ya matunda, ardhi nzuri kwa kilimo chochote, bei poa 0620570383
Je umewahi kukumbana na kadhia kma uchafu, kunguni, Kelele,bei ghali ya vyumba, umbali mrefu kwenye vyumba vya kulala wageni (guest house)? OGAH room's inakuwezesha kufanya booking katika vyumba...
Naitwa Mr Johnson ni manager wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa maharage quality beans tunapatikana Arusha Tanzania week oder yako Sasa tuna kufikia Hadi ulipo karibuni sana
Wapendwa natafta soko la alizeti, nnagunia 100,hpa singida gunia elfu 50,kwa anaehitaj au anaweza niunganisha na mtu anitafte kwa no 0766089646 ,ANIPIGIE KWAKUA SIWEZ KUREPLY MESSEJ HUMU, BADO...
Wakuu habari za muda huu,
Tunasambaza miguu ya ng'ombe,mkia,na ulimi, kwa wafanyabiashara wa kuuza supu kwenye mahotel na kwenye mabaa,bei zetu ni
miguu minne ya ng'ombe sh.18000
ulimi sh.6000...
Kwa mahitaji ya kufungiwa mfumo wa kisasa unao jiendesha wenyewe katika mfumo wa kidigitali katika kumwagilia,kudhibiti joto,mvuke na hewa katika nyumba za kuoteshea mazao.
*Mfumo unawezesha...
Mimi ni mwanafunzi wa Sua nauza miche ya mipera, miembe, michungwa , ndimu na kadhalika
Nakusafirishia popote ulipo...gharama ni constant ila usafiri maelewano
Kama kichwa cha habari hapo juu nauza ubuyu kilo moja 1500 kokote unaletwa piga simu 0674513388 na choya au arozera debe moja 20000, kilo moja 7000 piga simu nikuletee mahali ulipo
Habari
Tafadhali, kwa wanaofahamu kuhusu soko la mafuta ya Nazi, zaituni na mawese, bei zake za jumla na reja reja, mahala pa kuuza hizi bidhaa na uhitaji wake katika soko.
Shukrani!!
Samsung A30 Ram 4GB na memory 64GB inauzwa imenunuliwa dukani tarehe 12 jun 19 Kuna mtua aliitaka nimtumie huko mkoani ila ana maelezo mengi sana. Simu ipo mbezi Luis hata kujaribu tu kuweka laini...
Wakuu kuna mtu yeyote anayeuza vitenge humu? Halafu bei za hivi vitenge zikoje mana nimejaribu kuchungulia huki insta naona vinauzwa 35,000 ina mana hamna vya bei ya chin i ya hapo??
Na quality...