Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wandugu tumepotelewa na dada huyu, katoka nyumbani (Matejoo kwa Giriki) tangu siku ya Juma tano tarehe 24/04/2019. Tumemtafuta kila mahali bila mafanikio. Tumeambiwa alionekana maeneo ya...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Kichwa kinajieleza vizuri na nimeandika kwa herufi kubwa,Natafuta coaster ya kununua isiwe box body tu Offer Yangu 20 million Bei itaongezeka kutokana na condition ya gari ila offer iliopo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajameniii natafuta gari ya bajeti hiyo angalau nitumie miezi michache.... mwenye connection,plz help
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna longo longo Wala utapeli katika hili sawala. Kama unahitaji mbao kutoka njombe saizi yoyote. Naomba tuwasiliane kwa namba 0672-031-066. Kwa walio serious tu.Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Habari wanajanvi,naitaji bampa kama hili la toyota ractis 2006 lenye bodykit
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa na muamko wa kufuga samaki lakini changamoto kubwa imekuwa mazingira ya kufugia. Sababu ufugaji wa samaki wengi wamekuwa wakijua unahitaji eneo kubwa na Maji mengi sana. Ila...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Wakuu kwema. Nahitaji gari ya kukodisha kuanzia tarehe 03 hadi 07 June 2019. Gari iwe na uwezo wa kubeba watu sita. Mahali ni Dodoma. Najua baadhi yenu mnazo hizi gari. Njoo inbox tuongee.
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri. Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Year 1998 Transmission automatic Ac Well maintained no accident record Location-dar es salaam Price 9.5 mil Contact 0676462693
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Shamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja kati ya watoto ambao mzee wetu kapata hasara basi mmoja wapo ni huyu, ana miaka 60 lakini hapevuki alafu anaishi kwa njaa, ni aibu mzee kama huyu kuishi kwa kutegemea mrija wa ulaji kutoka...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wandugu habar,yapata mwaka sasa niliandika nahitaji machine ya kutotoresha vifaranga nashukuru nilipata,kupitia humu jf,sasa nataka machine ya kutengeneza vyakula vya kuku anaefaham watengenezaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KARIBU SITTA ELECTRONICS MAENEO YA GOBA TUNATOA DARASA LA KUFUNDISHA UFUNDI WA KUUNDA BOOSTER AU KU REPAIR, PIA INVERTER, GUITAR, KEYBOARD NK
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau habari za leo.. Nimekwa nahitaji pesa ya faster. Hivyo nauza kiwanja changu. Kipo Mwanza Maeneo ya Kishiri, kimepimwa kwa upimaji shirikishi ila bicon bado hawajakamilisha kutuwekewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wana jf naomba msaada wa kujua samsung original kwa dar ni sehemu gani . naomba mwenyekujua ananambie
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Habari zenu humu ndani kwa wanajamii wezangu ningependa kujuwa wap nitapata zao la oregano kwa anayejuwa nahitaji kwa wingi kwa mawasiliano zaid anitafute kwa whataspp 0685000606 or sms 0767000606
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Usipange kukosa jamaa wanapiga Gospel Reggae kali sana pamoja na Cover za gospels nyingine in Reggae rhythms. Usikose ni pale UPANGA CCC. Hawa jamaa wanajua kinoma, moja ya kitu kinanifurahisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ningependa kujua kwa anayefahamu zinakopatikana mbegu za chia (Chia Seeds) kwa Mkoa wa Morogoro.Anijuze zinapatikana wapi, kwa gharama gani n.k.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je wewe ni mfugaji wa kuku iwe wa chotara au wa kienyeji hakuna mfugaji anaefuga kuku ili apate hasara sio kuku Wa mayai au wa nyama wanaoleta faida Bali hata kuku Wa kienyeji wanafaida kubwa sana...
2 Reactions
22 Replies
17K Views
Kama kichwa hapo juu kinavyo eleza nafuta wateja wa jumla nitakao kuwa nawauzia sabuni kutoka kigoma kwa bei ya jumla kwa bei poa. Sabuni hizi hutengenezwa kigoma ni nzuri kwa kuogea huondoa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom