Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kwa ajili ya makazi maeneo ya mipango kinahitajika 900square meters
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Used HP revolve 810 inatumia keyboard pamoja na touch screen display yake inazunguka na kulala ili kutumika kama tablet imetumika miezi 4 processor core i5, 2.5 Ghz RAM 4 Gb hard disk 250 eneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI BEI 30M Contact 0686621567 mwenye Site (KAKA SAI) kwa mnunuzi tu mwenye nia KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA SITE INA vyumba vitatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam, kiwanja kinapatikana goba mbele kidogo ya saisai (mtaa wa tegeta A) kipo upande wa kulia kama unaelekea mbezi mwisho (Louis) umbali kutoka barabara ya lami ni meter 600 ukubwa wa kiwanja...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari wakubwa! Kwa wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwangu kwa bei nafuu kabisa na nitakufikishia mayai utakayoagiza mahali ulipo ndani ya DSM! Bei - Tsh.7500 kwa tray moja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nina shamba langu maeneo ya kichangani naliuza kwa Tsh 3m kwa heka.Kuna heka 10.Karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafut kioo cha galaxy j3 2016 used.. sitaki kipya cha bei chee yani.. nicheki 0657427793. Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Gari, Suzuki wagon. Bei in milioni tatu tu. Nipigie 0713242241 Karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada wapi naweza kupata vanilla iliokuwa tayari kwa matumizi ila kwa bei ya jumla na ningependa pia kujua na bei zake
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna sehem ambayo wanatoa mikopo ambayo haina masharti na vigezo sana. Labda waombe tu kitambulisho na taarifa zangu. Yaani kama mtu anataka kuanzisha biashara? Nahitaji 1Mil. Sent using Jamii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo makao makuu ya wilaya ya mvomero barabara ya Morogoro -dodoma kama mita 800 hivi toka makao makuu ya wilaya na hospital ya wilaya Pia iko jiran kabisa na lilipo eneo la stand ya wilaya na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta line ya airtel money iliyo kazini na ww ndo uwe mmiliki kama hauifanyii biashara kwa sasa na naomba iwe na document zote halali za umiliki wake...
1 Reactions
2 Replies
807 Views
Tafadhali wakuu, Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha The last Plague, kilichoandikwa na Meja Mwangu.Unisaidie Tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 22×20 kipo Kibamba Hospital mtaa wa Mloganzila(Mji Mpya).Bei yake ni 5.5M.Maji ya Dawasco yapo karibu na yanatoka 24/7 na umeme ni wa kuvuta kwenye nguzo, pia kuna umbali wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Maziwa fresh 1900 kwa Lita. Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5 Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar. Napokea oda za...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kujua gharama za mafuta na sabuni za grace zoazoa. Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Bei 430000, Haina tatizo lolote 0622544644 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo morogoro eneo la Lukobe kina ukubwa wa 979 mita za mraba. Na kimepimwa. Kiwanja namba 166 block 8 kinafaa kwa makazi au Biashara bei ni m 6 tu hakuna maongezi 0652260304
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Iko fresh, 2 ports of HDMI,. 2 ports of USB,.wall bracket Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO ) Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo...
2 Reactions
5 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…