Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

jaman habari umu ndani kijana wenu nataka kuuza madera mikoa wa bukoba ila sina mwenyeji kwa wale wa bukoba naitaji mwenyeji wa kujulishana biashara hii ya madera please ni pm kama upo tufanye...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Rover forsale with manufactured 1999 model for business check m 0717 022737
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Nipo Dodoma, ninauza simu tajwa hapo bei ni Tsh. 250,000/- Imetumika kwa muda wa miezi 4, haina tatizo lolote na Ina waranty ya 2 years kutoka Samsung. Specification unaweza kuangalia Google. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung galaxy S duos Inauzwa, Ni almost new, Imetumika kwa muda wa miezi minne tu, haina scratch yeyote, bei ni Tsh. 250,000/- tu. Kwa yeyote mwenye kuitaji anicheki kupitia Pm
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Habar wana jf. Polen na majukumu ya ujenz wa taifa,gari tajwa hapo juu linahtajika niko dar.weka cont,au ni Pm.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
eti wana jf biashara ya mpesa na tigo pesa inafaida?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habarini za weekend? Napenda kuwaletea taarifa za kuwapo kwa set mbili za chumba self, sebule na jiko lake zinazopangishwa Kigamboni. Zote ziko katika kiwango cha juu na kodi zake ni sh...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau,samahani kwa wale wenye kujua ni wapi naweza kununua mananasi na matikiti ya jumla kwa mikoa ya Dar es salaam na pwani naomba anijulishe!ahsante
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Viwanja vya ukubwa wa 20*20 vinauzwa, eneo la kibaha picha ya ndege, maeneo yapo km 1.5 kutoka barabara kuu ya morogoro! Bei ni tsh 3M! Kwa mawasiliano zaidi 0656142433
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamii; Kuna kiwanja kinauzwa hapa Kibaha kwa Mathias. Bei ni shillingi MILLIONI 17 .Sifa za eneo la kiwanja kilipo:- 1:Umbali kutoka kituo cha daladala Kwa Mathias bara bara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, husika na kichwa cha habari hapo juu ,kwa wenye kuhitaji bei ni nzuri kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia no 0715 100071 . karibuni
0 Reactions
13 Replies
4K Views
HELLO JF MEMBERS, kwa wenye uhitaji wa vitu vifuatavyo (picha nitaweka baadaye nikipata mda si mrefu),: Laptop moja (Latitude Dell D610) ( 60gb hdd, 1gb ram 1.8 ghz). = 300,000/= Desktop with...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji gari aina ya Ra4 ya kununua, 5doors, engine VVT-i. Iwe katika hali nzuri sn na isiwe ina historia ya kupata ajali. Nipo Dar..budget yangu c zaidi ya 11m. Only call& texts to- 0714010511
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Make: Toyota Nadia Make Year: 1999 Body type: Station Wagon Type: 5 Doors Engine Capacity: 1900 CC Engine Type: 3S Mileage: 140,500 kms Colour - Red Registration number T...ASQ Reasons to sale...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Make: Nadia Year: 2000 Model: Nadia Body type: Station Wagon Type: 5 Doors Engine capacity: 1900CC Engine Type: 3S Mileage: 140,500 kms Colour - Red (very clean) Registration number T...ASQ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Viwanja viwili vinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu kipya (St. Augustine). Cha kwanza ni 20x20 m² bei 3m. Cha pili ni Ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijajulikana kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
OK ndugu zangu ni yule yule Dalali wako was ukweli,salsa nakutangazia we we ndugu yangu mpendwa kwamba kuna viwanja na mashamba mazuri katika wilaya ya mkuranga iliyopo karibu sana na jiji la dar...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta chumba na sebule kgamboni dar, chumba na sebule nachotaka kiwe kinajitegemea namaanisha mlango wa kuingilia kwenye hyo sebule uwe wa peke yake sio wa kuchangia na vyumba vngne, viwe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf kitanda na godoro Kwa vyote vinauzwa bei 180. Vipo kigambon. Ni pm Kwa unahitaji.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
simu ipo katika hari nzuri.simu ina chaji,airphone na power bank.. bei 260,000 no 0758960117
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…