CONTACT: +255 787 459 850 For Landscape design, Site plan design, Residential house design and Fence design at very reasonable price. You can see these panoramic views that i have already designed...
1. Survey along mlimani road or
2.Tabata Aroma or
3.Mbezi Tangi bovu hadi goigi.
Msaada wenu wakuu, hata nikipata contact za madalali wa maeneo hayo nitashukuru..Thanks.
Habari wadau ninauza raum new model gari ni nzuri na bado mpya kabisa nipo arusha kwa yeyote anayehitaji anicheki kupitia namba 0718146734
Details zake ni
Year: 2003
Cc 1496
Odometer: 64559 km...
Nyumba ya kununua inahitajika budget ni 70 to 80 million mwisho iwe maeneo ya mwenge, survey, sinza, ubungo, kijitonyama na iwe na documents zote. Ahsanteni
Used sony Xperia z1 tablet for sale kwa 750,000 tshs. The specifications are;
16GB internal memory with 2GB RAM, android 4.1.2(jelly bean), 8.1 MP camera with a long life camera. Watsapp au...
Wakuu urgently natafuta gari ya kununua iwe Toyota Prado au Toyota Surf..budget yangu ni mil 13 kwa Prado na mil.12 kwa Surf.
Manual is more preferable, nipo Dar,
Number yangu ni 0714010511
Wadau, habari zenu?
Naomba kujua ni wapi na ni kwa gharama kiasi gani na majibu yanapatikana ndani ya muda gani toka kupeleka sampuli (sample) ya maji kwa hapa Tanzania?
Nahitaji nijue maji...
Habari wakuu..
Naomba msaada kujua ni kwa namna gani naweza kufanya manunuzi kwa kutumia ile App ya Kaymu.. Kuna bidhaa nimezilist nataka kuzinunua ila nashindwa jinsi ya kufanya malipo na pia...