Mzazi wangu anauza kuku chotara,tetea 12,000 na jogoo 17,000.Kuku anafugia kibaha,mkikubaliana utafanyika utaratibu ili uletewe ubungo.Wastani uzito wa tetea ni kilo mbili kasoro mpaka mbili...
Natafuta HP laptop used or new yenye screen display ya INCH 17 or above ni kwa ajili ya ofisi. Budget laki 500,000, plsease PM kama una hii laptop, inaweza kuwa pavillion, probook or g7
Ninauza unga wa mahindi sembe@800-kg kwa bei ya jumla. 1000-kg kwa rejareja,
pia dona iliyochanganywa na unga wa mihogo @900-kg kwa bei ya jumla. 1100-kg kwa bei ya rejareja,
unga wa lishe wenye...
Habari gani wandugu!
Natafuta mtaalamu wa kunisaidia kuframe digital passport size katika vipimo ambavyo vinakidhi matakwa ya green card lottery 2016.
Natanguliza shukrani za dhati wandugu!
Jipatie Bata Bukini wenye Rangi nyeupe ya kupendeza kwa bei nafuu ya shilingi 250,000/= tu za kitanzania,pia majike ya mabata hayo yanaendelea kutaga.
kwa mawasiliano piga namba zifuatazo...
Viwanja vinauzwa Goba Mwisho Kulangwa/Uzaramoni
Kimoja kina ukubwa wa mita 17 kwa 17 bei yake ni Tsh Million 5
Kingine kina ukubwa wa mita 17 kwa 19 bei yake ni Tsh million
piga simu...
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo ..
1 km kutoka barabara ya lami iandayo Kimbiji.
Huduma za jamii kama maji na umemevipo.
KImepakana na mto Nguva wenye maji.
Pia lina mikorosho.
Tafadhali kwa...
Wapendwa karbun mpate viatu na handbag za mitumba ya ukwel tunapatkana dar wa dar unaletewa ulipo wa mkoan unatumiwa popote ulpo kwa pcha zaid plz to follow page yetu instagram "VIATU NA HANDBAG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.