Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Simu tajwa hapo juu inauzwa bei 350000 internal gb yake ni 32gb imetumika miezi sita haina tatizo lolote, nimepewa sijaipenda specs zake kwa undani ingia google. Nipo dodoma k
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hallo. Ndo kwanza nmeanza maisha. Nnaomba kwa yoyote ambaye mwenye Mtungi wa Oryx na hautumii kabisa, basi naomba tufanye biashara. Badger yangu ni :- Tsh:- 40,000/- Cash. Deal done
1 Reactions
2 Replies
893 Views
Eneo lipo karibu na shule ya msingi na sekondary kisauke madale Ukubwa wa eneo ni 45 x 25m Kuna nyumba mbili moja ni ya zamani na nyingine haijakamilika Umbali ni 500m toka stand ya basi kisauke...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Details: Year:1998 Transmission : Automatic Mileage: km 175600 Engine model: 3S Price: 8ml negotiable Gari iko Dar, for more details call 0767801747
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gari inauzwa, 1.Model Rav 4 2.Short chasis, 3 doors 3.Year. 1994 4.78,000 km 5.Price 5 million 6.Negotiable, No. 7. Condition. Very good. 8. Contact 0 715237973 9.Location DSM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nokia Asha 201 inauzwa ... Iko powa kabisa! Ukinipa 75,000/= nakuachia
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Naombeni msaada nimeharibu charger ninahitaji charger ya tablet Lenovo. Urgently
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Nimekuja humu nahisi ntapata response ya haraka naitaji hp envy,14 inch, slim,core i5 ,int mem 500gb, 4gb ram.... Mpya hiwe na box na receipt kabisa...mwenye kuweza kufakisha hilo afunguke...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari wakuu, hp envy,14 inch, slim,core i5 ,int mem 500gb, 4gb ram.... Mpya hiwe na box na receipt kabisa...mwenye kuweza kufakisha hilo afunguke Price yake tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Hello wapendwa,natumia smartphone huawei!, nahitaji sana kusikiliza redio hapo juu kwa apps za redio but sifanikiwi. msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Nimesikia na kuletewa hili na kuhakikisha nami nawasilisha,kuna chumba kinapangishwa maeneo ya magomeni mapipa,mtaa wa magomeni mwisho,karibu kabisa na kituo cha jangwani,bei ya chumba ni 40,000/=...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna galaxy s3 nliyokuwa naitumia naiuza kwa 310 tu. Imetumika miezi sita na mimi mwenyewe nataka kuhamia kwenye s5 au window phone. Ingia gsm arena uone picha na specs ina 32gb na 2gb ram.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza tupa za JK water proof ,na mizani za kidigital zinapima kilo hadi tano ,,,waweza kunitafuta kwa kutumia hii namba 0753947515
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Kama ulivyosoma hapo juu nauza min laptop aina ya acer. Sifa zake RAM 2GB HDD 250GB PROCESSOR 1.66Ghz Webcam Karibuni wakuu ila mnisamehe simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo Dar njoo inbox for kwa maelewano na mawasiliano
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mdau anayeuza line ya Tigo Pesa kwa hapa Dar,,plz nahitaji tufanye deal
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kama unauza au unajua inapopatikana tafadhali tuwasiliane,. Nipo Dar ila hata kama uko mkoani hakuna tatizo bado tutaweza kufanya Biashara!! Karibu.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
1. Lina ukubwa wa ekari 30 (hatua 70 x 70) 2. Linatambulika na uongozi wa kijiji cha Ulaya, Kilosa. Kutoka kijijini mpaka Kilosa mjini ni km 15. 3. Liko kando mwa barabara kuu ya kutoka Kilosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tembea uone, Leo nilipiga kwata pwani kijiji fulani kutafuta kuku aina ya kuchi. Baada ya kuona kuchi original hawapatikani mpaka kisiwani Juani mafia ikabidi nibadili mpango, nikaomba waniuzie...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau natafuta nyumba ya kupanga kwa maeneo ya Riverside,Kibangu,Mabibo along Sum Nujoma Road,mpaka maeneo ya Tabata!nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sebule au chumba na sebule ila choo kiwe...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Back
Top Bottom