Habarini wana JF lEO Tarehe 01.10.2014 , ni Mwanzo wa mwezi wa Kumi na Wiki ya Kwanza katika Mwezi huu , Leo hali ya Mwanza baadhi ya maeneo mbalimbali kumekuwa na dalili ya Mvua na licha ya hivyo...
Dear Great thinkers,
In respect to the above subject, I hereby look for the serious business partners who are interested in modern grapes' farming at Buigiri village, Chamwino Ikulu area, just...
Nipo Dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.
Mwenye kuwa nayo...
Je unahitaji shamba maeneo ya pwani?,kuna mashamba yaliyopimwa na yasiyopimwa yanauzwa kwa hizo bei",heka zaid ya 1400 zinauzwa zenye hati miliki pamoja na nyumba za wafanyakazi' pia ardhi tupu...
Habari njema kwa madereva/wakazi wa Kigamboni,
Karibuni sana katika egesho jipya la magari liliopo ferry karibu sana na Lutheran Church,mwendo wa dakika 5 hadi kivukoni kwa wale wanao epuka foleni...
Habari za humu wanajukwaa Nyumba inapangishwa,ipo maeneo ya tabata kiskulu..ina vyumba vitatu,kimoja masterbedroom,sitting room,dinning na store
Kwa mawasiliano zaidi no.0784355363
Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili..
nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza...
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Hapo Juu
Freezer ipo katika hali nzuri kabisa
Imetumika miezi miwili tu, nzuri kwa Biashara na matumizi binafsi pia.
Ina warrant...
Plot for sale. Iko mburahati barafu na ina nyumba mbili zenye bedroom mbili plus self contained master bedroom each. Pia kuna self contained guest house yenye bedroom moja, siting room na kitchen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.