Kwa mteja anayetaka kuchimbiwa visima,
sisi havilla enterprise tunahusika na shughuri nyingi na kati ya hizo ni uchimbaji wa visima .
shughuri zingine ni kama ifuatavyo.
Printing
network...
Habari zenu wanajamvi- jukwaa la Biashara na Uchumi.
Naandaa andiko la mradi juu ya biashara ya kuprint maandishi , nenni na logo kwenye nguo.. Naomba msaada wenu juu ya , Aina za mashine na bei...
Kwa ekari shamba tupu bei yake inarange laki 1 mpaka laki 2.5,utofauti huo wa bei ni kutokana na sifa za shamba,yanapatikana km 78 toka Iringa mjin ktk wilaya ya Kilolo kupitia barabara ya mkoa ya...
Habari wana JF,
Nilitengeneza toroli kwa lengo la kufanya biashara ndogondogo na kuepuka gharama za kodi za fremu ila kutokana na sababu fulani nikashindwa kulitumia.Ni kubwa na linaweza...
Natafuta kampuni ya kichina ya kuchimba kisima maeneo ya kigamboni kwa kuwa nimesikia wao bei zao ni nafuu kuliko wachimbaji wengine. Hivyo naomba kwa mwenye mawasiliano nao anipatie hapa. Asante
Wajameni habari za jioni! Kama kichwa cha habari Kinavyoeleza, nahitaji speaker tajwa hapo juu na hasa zenye ukubwa kuanzia watt 6000 no kwa ajili ya kukodisha.
Kama kuna mtu anazo anauza pm, na...
This is a neoclassical style house because it has a full, high entry porch with columns .Near to the main entrance porch there is a large living room in which you can seat, relax and...
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 !
Gharama za...
Fursa ya kuwa mmiliki wa kampuni yenye kusambaza bidhaa za hewani za high tech pamoja na kupata kipato cha mtandao ipo hewani.
Utapata hisa 10 baada ya kukamilisha mchakato wa kujiunga na utapata...
kama unahitaj fundi wa computer yako ina tatizo laptop au desktop au unahitaji website,blog na pia computer networking iwe internet cafe au office computer network system pia kwa wale wafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.