TANGAZO WAHITAJI WA BUSTANI ZA MAUA MAJUMBANI N.K ZA DESIGN AINA ZOTE NA UPANDAJI WA MAUA NA MAJANI NA
MICHOLO MBALI-MBALI,NA KUJENGEA MICHOLO YA KISASA YA BUSTANI .Landscaping, SWIMING POOL.Tiles...
Ninahitaji kupanga nyumba isiyozidi 80,000 kwa mwezi au chumba na sebule, maeneo ya Kawe, tangi bovu, mwenge,sinza survey, ubungo, tegeta,mlalakua,kinondoni, magomeni, chang'ombe, kimara. nitafute...
Kwa wale mnaohitaji viwanja vya 20 kwa 20 nimegawa eneo langu na ninauza kama nilivyoonesha.eneo halipo mbali na kinapojengwa Chuo kikuu cha muhimbili eneo la mloganzila.hakuna dalali,wasiliana...
Wanajamvi,
Rejea somo la habari hapo juu. Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 10 kwa milioni 10 tu. Lina hati ya kijiji, lipo maeneo ya chamwino Ikulu, karibu kabisa na barabara iendayo Dsm...
oya nna upande wa nyuma mzuri sana upo buguruni njia panda ya ghana maji umeme vinapatika stand ni dk 5 tu unafika naitaji wanafunzi 10 tu ni rahisi kufika udsm au duce kila mwanafunzi atalipia...
Green vision ltd is providing you with a high quality electric fence at better price of 18,000/= .Our contact:-0712435316www.greenvisionltd.wix.com/security
Topguide insurance agency ni sales representative wa Jubilee lnsurance ltd tunatoa huduma za bima za magari ya aina yote, afya,elimu,uwekezaji,na etc..
Wadau natafuta Language Translation Equipment ya kukodi ( English - French ), very urgently . Napatikana Dar es Salaam. Mwenye kujua chochote kuhusu ukodishaji wa System kama hizi naomba...
KUna mtu yeyote anajua wapi wale kuku dume (Majogoo) wanaofukuza watu na kuwadona wanapatikana ,sina uhakika kama mnawaelewa au wako baadhi kama mnaweza kuwajua,namkumbuka mmoja bonge la jogoo na...
Gari liwe linafika kwenye eneo bila tatizo kuwe na umeme na maji ikiwezekana kiwe karibu na barabara kuu yaani kisiwe ndanindani sana. nitumie sms, kumbuka kuwa na taarifa za bei ya eneo hilo pia...
Wana jamvi,,natafuta muwekezaji au mnunuzi wa eneo la hekari 30 lipo Chanika.Eneo limepimwa na linamilikiwa kihali,lipo jirani na barabara karibu na soko la Chanika..!
Jambo wakuu,
Nakuja kwenu na ombi langu bila shaka kwa wrnye kuweza watanisaidia.
Nimehamia sumbawanga kimajukumu, hivyo basi ninatafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu.
Ni imani...
Laptop hp ina windows 7,1.73 proccesor,1gb ram,hdd 60gb.bei 200,000.battery haidumu chaji ivo kama unataka kwa ajili ya matumizi ya nje unabadilisha battery.pga 0753377317
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.