Nyumba yenye vyumba viwili na varanda iliyopo Kibwegere karibu na mto mpiji upande wa Kibaha inauzwa.
Kuna choo na bafu ya nje pamoja na fremu ya stoo.
Bei 10 Milion
Mawasiliano 0658977330
Nyumba iliyoko karibu na Makumbusho Bus Terminal inauzwa. Ina ukubwa wa 4,000 SF (371 SQM).
Bei TZS 180 Million
Ina offer. Process ya kupata Title deed ilianza na kusimama wakati wa kutakiwa...
Habari wandugu, ninauza gari
model: Toyota Spacio
Mile: 95,000km
cc: 1490
Iko katika hali nzuri, nina shida na pesa ya kulipia ada ndio sababu naiuza kwa bei ya 5.5Million.
Simu: 0686-654180
kiwanja kipo Mwandege-DSM, kina ukubwa wa unaozidi robo eka lakin hakifiki nusu eka, bei ni Tsh.milion 5 kama una pungufu njoo tuelewane,. sio lazima ulipe yote kwa mara moja, unaweza kulipa...
Nyumba ya vyumba 3 kimoja ni master public toilet jiko ina tiles. Bei yake ni shilingi 300,000/=kodi ya mwaka au miez 10 itapokelewa. Maji yapo hakuna malipo kwa dalali.. anayeitaji apige simu...
JE WEWE NI MCHIMBAJI WA DHAHABU, AU UNAFANYA BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA KWA FAIDA?
Kama hivyo ndivyo, Wacha nikupe deal.
TUNAUZA MGODI MZURI WA DHAHABU.
Mgodi wetu ni rasmi, Wemye vibali...
Ina vyumba vitatu vya kulala.kimoja master, jiko.public toilet.ina maji ndani.ina simtank nje.ipo kimara resort karibu na barabara kodi laki 350000.inahitajika kodi ya miez 7.mawasiliano 0716 160639
Kontena hili lina vyumba viwili ndani,nafasi ya nje ni kubwa linafaa kwa grosary,kwani eneo la nje ni kubwa au duka la vinywaji vya jumla.lipo kimara korogwe pembeni ya barabara kama unaenda...
Open university kitengo cha masuala ya technology kinatangaza nafasi ya masomo ya computer ya muda mfupi(short course)na ya muda mrefu(certificate &diploma)katika computer pamoja na masomo ya pre...
Ombi kwa mafundi simu kama yupo aliye na mashine nzima ya Nokia N8 aniuzie. Simu yangu imekufa njia za kusoma line na haiwezi kupona. Nimeamua kubadilisha mashine yote. Aliyenayo please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.