Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni mpya imetumika kwa wiki 2, Specifications: Android OS: kitkat 4.4.2 (upgradable) Memory: Internal 16GB, 2GB RAM Camera: front 8 MP, rear 13 MP(wale wa selfie) Network: 2G, 3G, 4G LTE Others...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wana JF baada ya kuvamiwa na "Mbwa Mwitu" zaidi ya 10 nyumbani usiku, na kuibiwa na kujeruhiwa nahitaji ulinzi zaidi. Nahitaji Mbwa walinzi German Sherperd pure. Mwenye kuuza au anajua wapi...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Make Suzuki. Model Grand Vitara. Model Number J20A. Body type Station Wagon. Colour Green. Year of Manufacture 1998. Engine Capacity 1995. Fuel used Petrol. First registration 17/8/2010
0 Reactions
0 Replies
1K Views
already sold
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Ninauza compressor mpya ya upepo bado haijatumika. Size ya kati niliinunua 700,000/= na ninauza kwa bei poa ya 550,000/=. Nimebadili plan ya biashara. Serious buyer unaweza juwasiliana nami kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei 10.5 mil piga 0714 045 080.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wananchi wenzangu Habari zenu!! Kwa juhudi nilizozifanya mpaka sasa hazijazaa matumaini kabisa (kwa kipindi cha mwaka mzima mpaka sasa), nahitaji mtaji wa kiasi cha shilingi milioni 400. Je...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni dagaa hawa wa Magengeni wanapenda sana na kukua haraka. Kambale ninao na naendelea kuuza mmoja kuanzia elfu na mia tano kama utachukua wengi bei itapungua
0 Reactions
0 Replies
2K Views
- Special order is also accepted. Enjoy your season by getting those panoramic designs,,,,,,,!!!!!!!!
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Gesti nyenye vyumba kumi na sita na eneo kubwa kwa ajili ya kuegesha magari inauzwa,iko tabata kimanga barabarani,bado ni mpya haijaanza kutumika. kwa mawasiliano zaidi piga 0714358610
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anakodisha makontena humu naomba gharama za kukodi kontena la futi 40 kwa miezi miwili.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nahitaji mkopo Usiopungua laki tano wala kuzidi'' kiwango Hicho kwa aliye tayari naomba aniPM tafadhari ili niweze kuelewana naye kwa masharti maalumu.....
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Viwanja viwanja kigamboni mwongozo, vimepimwa ,vipo sehemu tambarare ni km 2 toka baharini . For more information contact: 0713 95 92 90
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza. Nauza LG smart phone kwa Tshs. 150,000, simu ikiwa na sifa zifuatazo: 1. Camera: 5 MP kwa back camera na front camera ina 2 MP. 2. Internal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
163,000/=tshs 0659223322
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Ina wiki 3 toka niinunue bei maelewano
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Habari zenu wakuu, nina nyumba naipangisha laki mbili na nusu kwa mwez kwa miezi sitasita. Nyumba ina tiles, choo cha master na public, vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na stoo. Pia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hii canon np 6216 kwa mtu aliye serious tuwasiliane tufanye jinsi ya kukubaliana,njoo na offer nzuri
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Gari toyota hiace inauzwa Dar es s alaam. Machine ni 3l kwa anehitaji ni 12.5m but its negotiable. Tutafutane 0713 80 67 66.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mileage 190,000km price mil 9
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…