X-mass Festival: Enjoy it with a Discount rate, Buying Architectural Drawing design

X-mass Festival: Enjoy it with a Discount rate, Buying Architectural Drawing design

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,001
- Special order is also accepted. Enjoy your season by getting those panoramic designs,,,,,,,!!!!!!!!
 
Yeah i hv designed it
 
Hello ni kwamba kuna michoro iliyoandaliwa tayari hivo waweza toa hitaji lako ikiwa unahitaji nyumba yenye vyumba vyumba vingapi, na mwonekano gani kisha nikakuandalia dizaini yako.
 
Welcome,
Christmass price breaks
 
Hello, i am back now. Let us arrange on how we can meet
 
Msimu wa krismass na mwaka mpya vimeshakaribia na ofa zetu ziko ukingoni kumalizika nawashuku wote waliojitokeza na wanaofikiria kujitokeza hivi karibuni kwa pamoja nawatakia sikukuu njema za krismass na mwaka mpya.
 
Attachments

  • IMG_14462799679713.jpeg
    IMG_14462799679713.jpeg
    28.4 KB · Views: 105
Hekimatele, bei ni ndogo sana na haijapata tokea wewe gonga tu 0787459850 kwa design zilizopo na order pia

Acha stori nyingi, unavyoulizwa swali jibu accordingly! Naona zingine umekopi sehemu mwanawani! Tuachane na hayo
Hii unaiuza shilingi ngapi?
View attachment 127974
 
weka bei hapa ili na wengine waweke za kwao, wachoraji wako kibao bwana acha kutaka giza kama mende, weka bei kwa kila item
 
weka bei hapa ili na wengine waweke za kwao, wachoraji wako kibao bwana acha kutaka giza kama mende, weka bei kwa kila item

Kaka, michoro ya architectural design bei zake zinafahamika sana, na charges zake huwa ni kwa square metre. Lakini mimi sipo kwenye bei hizo. Asante kwa ushauri.
 
Acha stori nyingi, unavyoulizwa swali jibu accordingly! Naona zingine umekopi sehemu mwanawani! Tuachane na hayo
Hii unaiuza shilingi ngapi?

Sina kazi za kukopi sehemu kama wewe unavyofikiria.
 
bei ndo ikoje sasa mkuu?

Bei za michoro ya architectural design inafahamika. Na gharama zake huwa ni kwa square meter, lakini mimi sina viwango hivo. Kinachofanyika hapa ni kukupa wewe design kwa price ambayo iko sawia na aina ya design husika.
 
Ambayo ni kiasi gani sasa?
 
May Almighty God Shower You
With His Love
During This Christmas
And Meet All Your Needs
And Elevate You Higher

Happy Christmas
 
Back
Top Bottom