Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Mkuu,Ofa ofa ofa mpaka saa 11:59:59pm, tarehe 31/12/2013 kwa Tsh 450,000/= tu kwa ramani hii, changamkia ofa hii.
Mwanzo ulianza kama vile unatafuta Fees ya shule,
Ulianza kama tunasaidiana, yaani tunakusaidia Ada kwa malipo nafuu ya Hizi Ramani.
But now naona umeingia rasmi kwenye ujasiriamali. Hata bei zimekua za kijasiriamali zaidi. Hazina tofauti na Pengine zinazidi hata bei za Architecture wa kawaida.
But all in all, HAPPY NEW YEAR 2014