X-mass Festival: Enjoy it with a Discount rate, Buying Architectural Drawing design

X-mass Festival: Enjoy it with a Discount rate, Buying Architectural Drawing design

Naona umetuwekea na wazungu wakati designer upo bongo? Mi sipendi kushawishiwa kuwa ni copy n paste

Software inayotumika kudesign ni ya wazungu na objects zilizopo ni sura zao tu, waafrica tunatumia tu hii technologia mkuu Kwa hiyo hao unaowaona usiogope
 
Naona umetuwekea na wazungu wakati designer upo bongo? Mi sipendi kushawishiwa kuwa ni copy n paste

Public building design with several administrative office
 
Tahadhari kutokana na sheria namba 4 ya mwaka 2010 mtu yeyote haruhusiwi kufanya biashara ya fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi kama hajasajiliwa na bodi husika.
 
Simplae design
 

Attachments

  • 1393748663264.jpg
    1393748663264.jpg
    117.8 KB · Views: 95
  • 1393748694676.jpg
    1393748694676.jpg
    100.8 KB · Views: 99
Simplified apartment
 

Attachments

  • 1393972794803.jpg
    1393972794803.jpg
    118.8 KB · Views: 83
  • 1393972823520.jpg
    1393972823520.jpg
    57.4 KB · Views: 83
Ujenzi wa mjini ni miaka 20
 
Tehe tehe eeh ok kwa laki we njoo uichuke ukajenge bwana we pambana na building materials
 
Njooni tujenge pamoja kwa design zetu za kiafrika kama hii ya vyumba vinne kwenye plot size ya 20x20 skwea mita inachukua 10x16 skwea mita.
 
Zipo nyingi, msimu huu wa kujenga, njoo uchukue design upendayo
 
Three bedroom house
 

Attachments

  • 1407957392817.jpg
    1407957392817.jpg
    70.2 KB · Views: 51
Vyumba 4 kwa ofaa price
 

Attachments

  • 1408147114586.jpg
    1408147114586.jpg
    61.3 KB · Views: 41
Back
Top Bottom