Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wa jamvini Habari. Natamani kununua shamba Moshi, maeneo ya kuanzia Machine Tools mpaka Uchira. Eneo linalofaa kwa kuishi na kilimo/Ufugaji minimum ekari 2. Umbali wa kutoka huduma za maji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mambo vipi nauza head phone tajwa hapo juu... nimezitumia kwa muda kama wa 2 month bei ni elf 60 tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye simu tajwa hapo juu naomba anicheki nataka niinue namb zangu ni0758743777
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Wadau naombs msaada kwa anaejua mahali vilipo vyumba vya kupanga...zaidi napendelea chenye choo chake ndani yaan master,,,,,,offer yangu ni 70000 mpaka 80000 tshngs,,,,,,,namba yangu ya simu ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mwenye samsung galaxy tablet hyo na anataka tubadilishane na laptop aina ya dell latitude E6320 ANI PM
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Wadau me ni mfanyakazi serikalini nimejichanga hela nimepata tumilioni 8.8 Nataka kuagiza gari noah 2001 au 2004 nahitaji msaada katika mambo yafuatayo FOB CIF BID Hivyo vyote vina maana gani...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari, Kwa mwenye kuhitaji huawei ascend inauzwa kwa only 180,000/.4GB memory card, hiko full kila kitu.Ni pm if hupo interested. NIPO DSM.Internal memory ni 2GB.Unlocked, Haina tatizo lolote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chek this link : https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/563401-pata-unlimited-internet.html
1 Reactions
0 Replies
907 Views
Apartment inapangishwa iko regent mikocheni ina vitu vyote vya ndan( full furnished) e.g sofa t.v fridge,vin'gamuzi vyote including dstv,.na mengineyo, ina sebule, vyumba viwili self contained, na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani ninauza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kipo kigamboni. Kijijini: Mwasonga. Near to Dar es salaam zoo. Kuna shule ya primary, secondary na zahanati. Mtu atakayetaka kuchukua ni lazima...
1 Reactions
1 Replies
855 Views
Bei yake ni laki 3.5, ni mpya kabisa kama zinavyoonekana kwenye picha, zimebaki piece 5 call 0713532322 niko dar
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba mwenye till ya m-pesa aniuzie.Mie niko dar es salaam. Kama unayo tukutane hapa 0786404808 0715404808
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Wandugu, Natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Ipo kimara bucha, dakika moja kutoka barabarani, ipo ndani ya fence, ina mageti mawili, simtank lita 2000, vyumba 4 ( hakuna chumba self contained ), ina eneo kubwa kwa parking ( gari 10 ), haina...
1 Reactions
1 Replies
826 Views
Habari wana jf,kama ilivyoandikwa hapo juu,mziki ni wa dukani aina ya fideek original full set sound,sio wa kuchongesha..umetumika miezi nane tu,wenye power speaker za midi 2 na bass 2 za...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu nauza cm yngu aims ya Nokia lumia 610 kwa bei ya ah laki tatu kwa yoyote atayekuwa interest anichek kwny hii namba0719 100531
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wanaJF, Nahitaji kuuza gari zangu tatu. Hii ni kwa kuwa zinakaa hazina kazi na mimi nahitaji gari moja tu kwa mizunguko yangu. Nimekuwa nikizipark ila sasa kama ilivo kama gari ikikaa sana...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Lumia hizi zinahitajika 620, 520, 800, 900, 601, 701 na 610. nipm aina na Bei yako.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
ipad 2....ya32 gb.inquzwa iko katika hali nzuri sana laki 6 nusu.ukiitaj nichek 0654160092
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom