Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni...
Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya...
Utaratibu wa polisi kutumia Jeshi la akiba almaarufu mgambo katika kukabiliana na matukio ya uhalifu ni suala linahotaji kuungwa mkono na kila raia anayelitakia mema Taifa lake. Na hili...
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Nipo Dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza...
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.
Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi...
Mimi ni miongoni mwa wafanyakazi (150+) wa M-gas Cooking Limited. Hatujalipwa mshahara wa mwezi wa pili bila taarifa yoyote zaidi ya hapo tulipokea taarifa kwa njia ya email kwamba kampuni...
YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!!
NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!!
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote...
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu...
Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha...
Wanafunzi hasa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM mpaka sasa hawajapata stahiki ya fedha za kujikimu ijulikanayo kama "boom" mpaka sasa ilihali hali fedha hizo zilitakiwa kulipwa tangu tarehe 23...
Huku mtaani kwetu Kata ya Daraja Mbili pande za Arusha tuna changamoto ya uhalifu, yaani imefikia hatua hata Ulinzi Shirikishi wenyewe ambao wanajuliakana pia kwa jina la Sungudungu nao wanaogopa...
Mamlaka za maji zinatumia gharama kubwa sana kukusanya biki za maji toka kwa wateja wa maji ambao hawalipii hadi wakatiwe.
Hapa naona Dawa ni ‘Lipia maji kadri unavyotumia’. Zifungwe meter za...
Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo.
Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila...
Kuna meneja (Zulfika Abdulkarim) wa mgodi moja wa madini ya Vito Lemshuku, Wilayani SIMANJIRO, yanayoitwa green garnet ametorosha madini ambayo thamani yake haijajulikana Kati ya tar 15 Machi hadi...
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa...
Kawe ni moja ya Kata zilizopo ndani ya Wilaya ya Kinondoni na katika Jimbo la Kawe ikiwa ni moja ya Kata maarufu sana lakini hali ya Kituo cha daladala katika Kata hiyo inahuzunisha sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.