Habari watanzania na wana CCM,
Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona...
Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika...
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500...
Mpendwa rais SSH,
Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani.
Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa...
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
Salamu wakuu,
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa...
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa.
Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa...
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.