DOKEZO Threads

Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi. Baada ya taarifa kuwa polisi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
JF wana Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu hivi tuseme hizi media zimeishiwa mbinu za kutafuta pesa au wanA wawezesha wasikilizaji? Kumekuwa na mchezo mmoja saizi naona unasambaa kwenye kila redio. Unakuta watangazaji wanasema tuma...
10 Reactions
63 Replies
6K Views
Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za...
1 Reactions
1 Replies
829 Views
Wakuu uzima upo kwenu? Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Wakuu naongea kwa ushahidi kabisa kilipo kituo kikuu cha Polisi Arusha kuna kamsitu pembeni na ndani ya hako kamsitu kuna njia za waenda kwa miguu wanapita basi imegeuka fursa kwa vibaka na mateja...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Jamani tunaomba msaada, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atatutoa roho. Baada ya rais Samia kuingia Madarakani, wale watu wa pesa inaongea Wamerudi kwa kasi ya...
21 Reactions
157 Replies
12K Views
Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI. TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, huu ni ubunifu au kuwakomoa wazazi? Kinachoendelea katika shule ya Sekondari Mbande ni kitu cha kutizamwa kwa Jicho la kipekee kwa kuwa kina madhara yake na kisipozungumzwa na kutolewa maamuzi...
8 Reactions
130 Replies
4K Views
CDF Mkunda kwanza kabisa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi.Najua unachangamoto kubwa Sana ya kubadili mfumo mbovu wa ajira au uandikishaji wa vijana JWTZ mfumo ambao uliopita ulikua ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh...
11 Reactions
226 Replies
20K Views
Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo mke wangu ameenda kubadilisha kipandikizi katika kituo hiki Cha Afya Utegi, huduma hiyo ni ya bure, Cha ajabu wauguzi wakasema hawana vifaa mpaka atoe hela. Vifaa hivyo ni ganzi na kiwembe...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa...
14 Reactions
61 Replies
5K Views
Narudia kuandika tena, Ifikie hatua muwe waelewa huwezi kujifanya una calculator ya kodi kwenye magari ambapo kodi yenyewe unatoza asilimia 80% hadi 100% ya manunuzi hii sio sawa. Kwa mikodi...
77 Reactions
220 Replies
14K Views
Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au...
2 Reactions
2 Replies
673 Views
Ni jambo la kushangaza wanafunzi kufanyishwa kazi za kubeba magogo na kuchoma mkaa kwa ajili ya waalimu wao. Lugufu girls high school iko Wilaya Uvinza na kabla ya shule hii kuanzishwa ilikuwa ni...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom