Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es...
Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni...
Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani.
========
MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi...
Tukio la kikatili limeripotiwa kutokea Septemba 7, 2022 majira ya asubuhi Shule ya Sekondari Songwe, Kata ya Bonde la Songwe kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne waliopo shuleni hapo kwa...
Fedha za miradi ya maendeleo za TASAF ndani ya kata Hiyo, viongozi wamegawana wao kwa wao na kuendeleza miradi Binafsi na sio ile ya maendeleo,
Wazee wa kata Hiyo wamepuuzwa na kunyimwa fedha...
Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi!
Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa...
Ni muda muafaka sasa Airtel ianze kufiatilia wafanyakazi wake ambao sio waaminifu ambao wamekuwa wanagawa siri za wateja kwa matapeli
kwa nini nimesema hivyo?
Kipindi cha karibuni baada ya...
WAZIRI WA ELIMU TUSAIDIE WHY PRE FORM ONE TUNALIPA 2.5M TO 3.0M
Dear walimu wa watoto wetu,
Wazazi wote wa wahitimu wa darasa la saba wako wanakimbizana kupata shule bora za watoto wetu. Na hii...
Wanabodi,
Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi...
Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata.
Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo...
Wana JF,
Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala...
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
Kwenu Halmashauri ya mji wa Kibaha, kituo cha utafiti sukari Tumbi na shule ya sekondari Tumbi, kwanini pori linalohifadhi mazingira linachafuliwa kwa kumwagwa uchafu wa taka ngumu, miti inakatwa...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE
kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja.
Ni zaidi...
Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara...
Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya...
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya...
Wakuu angalieni vizuri statement za watu wa loan Board hasa wale wanaokaribia kumaliza deni, Kuna watu wanazifanyia adjustment, Sijui kwa malengo gani hapo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.