DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu. Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa...
1 Reactions
4 Replies
752 Views
Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu. Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Tayari Chama Cha Mapinduzi kimepitisha majina ya wanachama wake watakaopigiwa kura za maoni na kamati ya wabunge wa CCM kwaajili Ubunge wa Africa mashariki (EALA). Mchakato huu tayari umegubikwa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dawasa ni Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam, ikiwa na mikoa ya kihuduma mbalimbali likiwamo tawi letu la...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Mh Rais Pole Kwa majukumu, Mimi naitwa Emanuel Magoya Lucumay ni mkazi wa jimbo la Hai, nimelazimika kuandika barua hii kuelezea kilio cha familia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mheshimiwa Jaji Kiongozi. Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO
Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi...
1 Reactions
3 Replies
559 Views
  • Closed
Anonymous
DOKEZO
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa. Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi. Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that...
11 Reactions
104 Replies
6K Views
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk...
18 Reactions
155 Replies
13K Views
Anonymous
DOKEZO
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom