DOKEZO Threads

Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Wana JF Nimetimiza wajibu wangu kuleta taarifa binafsi baada ya kuridhika na uchunguzi nilioufanya juu ya uzembe wa TCRA na Wizara ya Mawasiliano na usimamizi wa makampuni yanayotoa huduma za...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Uzembe unaofanywa na meneja wa DAWASA Kawe jijini Dar es-Salaam.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto. Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20, MSAADA september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Tulipewa kazi ya kufanya makala na Taasisi ya WATED, ambapo ilifanyika mkoani Tanga, na ilitakiwa tulipwe na taasisi ya WATED wakishalipwa na Shirika la OHCHR ( Office of the United Nations High...
0 Reactions
4 Replies
376 Views
Mara ya kwanza nilipoandika uzi kuhusu kunguni katika meli yetu pendwa ya MV Victoria, ulifutwa mara moja. Naomba admin mjue sisi abiria ndo tunaumia. Wingi wa kunguni hata Jela haifui dafu...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa...
1 Reactions
4 Replies
899 Views
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Baadhi ya walimu katika shule ya Sekondari Kitumbeine, wilayani Longido, akiwemo Makamu wa shule hiyo Renatus Mwijage, wamekithiri kwa ulevi na vitendo vya ngono kwa wanafunzi. Madai ya tuhuma...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Corruption is not a bizarre thing in the cursed African community, when you talk of it and happens to wonder of its existence, some members who don't abhor it but merely adore it will treat you...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna kampuni moja inajiita (Seven Siries International) inahusika na huduma ya kupima watu na kuwapa dawa, hii kampuni ina watu maalaum kazi yao ni kushawishi watu waende kupimwa ili kupewa dawa...
0 Reactions
5 Replies
536 Views
Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla, ni corrupt sana (wakuu wa shule nimashahidi), anawaomba sana hongo na wanampatia kwa...
1 Reactions
12 Replies
954 Views
Salaam Wakuu, Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Habarini wakuu! Ndugu abiria mnaotumia mwendokasi kuwa makini, kuna baadhi ya wanaokatisha tiketi kwenye vituo siyo waaminifu, wanauza tiketi iliyokwisha tumika tayari na wengi wetu hatuangalii...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii nchi imekuwa ya kuchumwa na kunyonywa na wajanja na wengi tumebaki wajinga na kutazama. Huyu Mkandarasi anayejenga hii barabara ni mwehu wa kutupwa sijui ni barabara ambayo ipo chini ya ya...
2 Reactions
4 Replies
832 Views
Back
Top Bottom