Na. Mwandishi Wetu, Kigamboni
Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kigamboni inalalamikiwa na Mfanyabiashara X kwa kuwatorosha watuhumiwa waliokamatwa na kosa la uharibifu wa Mali na kugeuza...
VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI
Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na...
Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885.
Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya...
Habari!
Napenda nielekee Moja kwa Moja kwenye mada husika!
Kuna baadhi ya halmashauri viongozi wake ni warasimu sana kitu ambacho kinashusha ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi, mfano serikali...
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke haijaweza kutoa leseni za biashara kwa watu waliolipia tayari tangu wiki iliyopita. Binafsi ninasubiria leseni, hivi karibuni baada ya kufuatilia sana mara ya...
Heri ya mwaka mpya!!
Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu.
Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama...
Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
==
https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa...
Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea...
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa.
Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo.
ALERT...
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na...
Kiukweli Mv Magogoni imechoka imechakaa Ina mwendo wa jongoo inatia aibu sana hii nchi. Nusu saa nzima kutoka Kigamboni hadi Kivukoni. Yani wakati ukipanda unatabasamu unaona naenda paleee mjini...
Kwanza tunashukuru Serikali kwa kutuletea daraja la muda kwa wakazi wa kata ya Mngeta, limetusaidia Sana katika kuepukana na adha ya mto Mngeta hasa hasa Tatizo la Mamba.
Hivi karibuni...
Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia.
BAADHI YA KERO:
1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA
Kwa muda sasa, kampasi hii...
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana...
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi...
Hii barabara ni kongwe inatokea pugu mnada wa ng’ombe hadi Gongo la mboto, Mombasa Ukonga, Banana, Majumba sita, Airport hadi Vingunguti.
Baadhi ya maeneo hasa ikinyesha mvua hapapitiki. Maji...
Kwa sasa ni wazi kuna hujuma kubwa ya ujenzi ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Nimebahatika kupitia pale kama raia na mlipa kodi wa nchi hii na kuangalia ujenzi ulivyo jengo lile ni kiwango cha chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.