DOKEZO Threads

Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni mwaka mmoja umepita hivi sasa, lakini hali ya barabara ya mtaa wa Chato inaleta utata kati ya wananchi na wakandarasi. Urefu wa barabara hii ni mita 600. Imekuwaje mpaka leo hii barabara...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Baba mmoja aliyefahamika kwa majina kama Dickson Chilongola anadaiwa kumbaka binti yake wa miaka 10 hata hivyo baadhi ya Polisi wanatuhumiwa kumlinda na sasa mshukiwa kwa sasa yuko nje kwa dhamana...
0 Reactions
3 Replies
632 Views
Ndani ya Mwezi Mmoja kumeokotwa Maiti Nne (4) moja ikiwa ni ya Mwanamke na zote zimetobolewa Macho. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba Kituo cha Police Kawe kipo Jirani na eneo (vichaka) husika na...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Wandugu Salaam, Juzi pale hospitali Msoga Madaktari wamepokea mgonjwa aliekuwa anatapika na kuharisha Damu sana na haraka walipomchukua maelezo wakabaini jambo. Huyu mgonjwa alipata tatizo...
29 Reactions
55 Replies
3K Views
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nililipia Tsh.183,000 tarehe 3 Novemba mwaka huu kama malipo ya awali ili wanifungie Sola ya Watt 120 hapa nyumbani kwetu Simiyu. Leo ni tarehe 5 Disemba...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo. Jana askari wawili pamoja na familia ya...
0 Reactions
15 Replies
912 Views
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk. Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi Kubwa zaidi na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam, Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea. Licha ya haya mapambano...
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom