DOKEZO Threads

Nafikisha hili muwaokoe wanachi wa Tegeta Kivukoni. Hali ni mbaya. Sheria kama sikosei gari ikishakuwa level seat ianze safari. Abiria wengine nao wa njiani wanapata nafasi. Kinachofanyika hapa...
3 Reactions
5 Replies
539 Views
Habari wazalendo wenzangu! Hope mu wazima wa afya! Katika halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kuna eneo lilokuwa likitumika na Utegi Dairy kipindi cha wakoloni sijui. Nimezaliwa miaka ya 80, kiwanda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa...
34 Reactions
131 Replies
10K Views
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana. Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yah: uchomaji moto kwenye taasisi ya serikali Kiongozi, taasisi yetu iko kwenye hatari kubwa ya kupata janga la moto. Kaimu Mkurugenzi wa mikopo na biashara ana tabia ya kuchoma vitu visivyo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi picha hapa chini zinadaiwa ni za daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Inadaiwa kwamba inakaribia mwaka wa nne sasa tangu nguzo zake zicheze na halijafanyiwa marekebisho...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh. Rais naisi Kuna watu wanakudanganya, benki zote za Tanzania kwa sasa hazitoi mkopo kwa mtu yoyote paspo kufanyika search kupitia kitu kinaitwa credit bureau, ambapo benki inayotaka kukopesha...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Iko wazi kwamba Serikali ya Awamu ya Sita dhamira yake ni kuona wananchi wake hawapati shida, lakini cha ajabu ni kwamba Kituo cha Afya Bulale kilichopo Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
0 Reactions
8 Replies
956 Views
Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi. Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam...
54 Reactions
111 Replies
9K Views
Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani nawaomba wahusika DUWASA mtoke hadharani mtuombe radhi, sheria inasema mtu akilipia huduma ya maji ndani ya siku 21 apate huduma. Sasa mimi naenda mwezi wa pili sasa bila huduma sasa huu...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Habarini wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko kwa Watanzania wanaotumia huduma ya hospital ya Benjamini Mkapa hasa kwa watu ambao ndugu zao hufanyiwa upasuaji wakidai kuwa ukifanyiwa upasuaji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Stend imekaa mkao mzuri tatizo kubwa ni management na administration ya stendi. Kwa ufupi stend inamzunguluko mkubwa sana wa binadam naweza kusema movement ni 1000 men and women per minute. Kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana nimesafiri toka Gairo kuja Dar, kwa usafiri wa bus (jina kapuni) katika usafiri ule niligundua usafirishaji wa mabinti wa rika mbalimbali kuja mjini kwa ajili ya kazi za uyaya. Wengine...
16 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Kumeibuka tabia ya baadhi ya wakatisha tiketi za kieletroniki kwa mabasi yaendayo mikoani kupokea pesa tofauti na ile inayokatwa kwenye tiketi. Kulingana na bei ya nauli za mabasi yaendayo...
2 Reactions
0 Replies
577 Views
Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom