Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.
Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi...
Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku.
Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza...
Hii nchi kuna matukio ambayo huwa yanaonyesha kabisa dalili kuwa kuna harufu ya maafa lakini Serikali huwa ipo kimya, ila likishatokea hilo tukio utashangaa yanatengwa mamilioni ya posho kwa ajili...
Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao.
Wananchi hao wamesema mara...
Mwanza ni Jiji la pili Tanzania linalokua kwa kasi kutokana na Wingi wa watu na miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imejengwa kwenye jiji hilo, Lakini mbaya zaidi ni kwamba takribani mikoa yote ya...
Wakazi wa mtaa wa Ntundu kata ya Nsalaga jijini Mbeya wameingiwa na mchecheto baada ya taarifa ya fedha ya balozi wao Laulian Kiyeyeu kuwa na ukakasi.
Tukio hilo lilijili mnamo tarehe 6 ya mwezi...
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba...
High ways zetu hali si shwari ndugu zangu madereva wa mabasi ya masafa marefu na mafupi ni vurugu tupu dhana ya Defance drive ni zero jamaa wanafukuzana kama hawana akili nzuri.
Kikao cha bunge...
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na...
Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua!
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili...
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya...
Tamisemi pamoja na Wizara ya Afya kuna tatizo sugu ambalo naona linatafuna halmashauri nyingi nchini ' KUTOKUKAMILIKA KWA VITUO VYA AFYA KWA WAKATI.
Mwaka jana mwezi wa 8 Mh Rais mama yetu...
Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni...
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini...
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS...
Rais Samia, Waziri wa Afya na Makatibu Wakuu Wizara, kwa taadhima tunaomba umtoe Dkt. Ernest Ibenzi Mganga Mkuu mfawidhi Hospitali ya Mkoa Dodoma.
Amegeuza ofisi ya Umma kama Mali yake binafsi...
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?
Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini...
Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda.
Huyu mgambo ambaye vijana wa...
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro.
Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.