Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu...
Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao...
Kwa wahusika,
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni...
Hii ni Barabara ya Majohe wilaya ya Ilala kata ya Ukonga
Barabara iliharibika Sana baada ya mvua kubwa zile kunyesha mfululizo, Baada ya mvua kukata wakaleta vifusi ambavyo wamevipanga barabarani...
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya...
Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu.
Katika hali ya...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku...
Kuna baadhi ya Nchi mwaka huu zimeendelea kufanya kama zinavyofanya miaka yote.
Usalama wa chakula muhimu sana, wafanyabiashara wa hizo nchi wamepewa mabilioni ya pesa na tayari wamemwagika...
Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa...
Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza.
Kituo hicho kikuu...
Kama mwezi huu nilikwenda Bujumbura, nilipofika Manyovu nikashangaa hakuna mfumo wa uhamiaji kama ukipita uwanja wa ndege au Tunduma. Nikaangalia namna wale maafisa wanavyofanya kazi, nikajiuliza...
Huyu Mratibu wa NIDA Mkoa kwa jina maarufu Odoyo
amekuwa akisumbua wakazi wa Kigoma kwa kuwafukuza ofisini kama wanyama, kuwanyanyasa na hata kuwatukana. Nilipopata taarifa hizo nikasema wacha...
Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua...
UFISADI WA MITIHANI WA MUHULA MOSHI MANISPAA IDARA YA ELIMU MSINGI WATANZANIA WENZANGU KABLA SIJAELEZEA UFISADI HUO NAOMBENI TUWE WATETEZI WA SERIKALI YETU PAMOJA NA JAMII INAYOTUZUNGUKA UFISADI...
Naandika haya kwa masikito makubwa makubwa sn na ninasikitika kuona sheria zinachezewa wakat sheria ziko waz na zimeweka waz kila kitu.
Afisa utumishi wilaya ya Tunduru kwa majina MASANJA CHUMA...
Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani.
Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa...
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo;
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti
Wao wapo...
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.