Nashauri Rais WA TEC, Padri Gervais Nyaisonga, ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Shule ya Pandahill wamuondoe Mwalimu huyu katika hii shule ya Pandahill.
Amehusishwa na upotevu wa Mwanafunzi wa...
Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi...
Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi
Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua.
==========
UPDATES...
Ester Noah Mwanyilu...
Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa.
Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya...
Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta.
Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na...
Ni Binti wa umri wa miaka 11 ambae yupo darasa la tano.
Binti huyu pamoja na umri wake mdogo lakini ameeathirika sana kisaikolojia kutokana na kutumika kingono kutoka kwa vijana wenye umri...
Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi.
Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu...
Hii ni SACCOS iliyoundwa na wafanyakazi wa mashirika ya Posta na TTCL. Inasemekana kuwa uongozi wa hii SACCOS umekuwa na matumizi mabaya ya fedha sambamba na wizi na ubadhirifu mkubwa kiasi kwamba...
Najitokeza hapa kulalamikia usafirishaji wa bangi unaofanywa na vijana wa boda boda licha ya kwamba ni kinyume kusafirisha lakini imekuwa hatari kwa wakazi na wanafunzi wanaotumia hii barabara...
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu...
Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini.
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani...
Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila...
Nakumbuka mwaka jana niliona kuna memba mmoja wa JF aliandika kuhusu huduma mbovu zinazotolewa na Hospitali ya K’s iliyopo Mbeya, sikuwa nimeweka umakini sana lakini kilichotokea wiki hii ndio...
Wana JF
Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi.
Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza...
Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa...
Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa...
Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara...
Katika pitapita yangu nimekuta walimu wa Sekondari halmashauri ya wilaya ya Masasi wakibadilishana mawazo lakini katika hali ya kulalamika kuwa kuna kiongozi mmoja ndani ya idara ya Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.