Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu.
NARUDIA!
"Huduma yeyote ile...
Habari.
Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha.
Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni...
Habarini wanajukwaa,
Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri.
Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa...
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni...
Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk...
Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.
Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha...
Jana tarehe 25/1/2022 wazazi wenye watoto Shule ya Msingi Magu walikuwa na kikao ambacho kiliitishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Shule kwa taarifa kupitia kwa watoto.
Kikao kilihudhuriwa na wazazi...
Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli.
Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa...
Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita).
Amekula fedha kwa walimu...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya...
NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu.
Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi...
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh...
Moja kwa moja kwenye hoja kuu. Hapa wilayani Ngara mkoani kagera hakuna mafuta aina ya petrol Leo siku ya nne. Wilaya hii Ina vituo vya mafuta takriban vinane vya mafuta. Lakini Kati ya hivyo...
Wanajamii nimekuwa napita karibu kila siku barabara kuu ya Nyerere inayotoka Mwanza kuelekea Musoma. Ukifika eneo la Kisesa Isangijo kuna kiwanda kinachakata samaki.
Inasemekana mmiliki ni Lameck...
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.
Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
Ndugu wanajamvi Habari za muda huu,
Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini...
Leo mida ya jioni nilikuwa Bochi hospitali, wakati nikiwa kwenye foleni ya kuingia kwa daktari ambayo tayari imeshanichosha kutokana na foleni kuwa kubwa na kucheleweshewa huduma kwa mlolongo...
App ya tiketi mtandao ilizinduliwa ili kumsaidia abiria kuchagua basi, kuchagua siti na kulipa nauli moja kwa moja mtandaoni yeye mwenyewe bila kusumbuka kupiga simu au kwenda kwa makampuni ya...
Manispaa ya Morogoro (Morogoro mjini) ni mji wa zamani kidogo hivyo hata baadhi ya miundombinu iliyowekwa zamani imeshachoka ikiwemo miundombinu ya maji hasa hasa hizi meter (dira za kusoma...
Makundi ya tembo yanataabisha wanakijiji hawa, ni hatari kubwa, hakuna kulala, ni kukesha, na mchana yapo, hata mda huu wa saa nne usiku nasikia mavuvuzela na kupiga madebe kuyasogeza
Maafisa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.