Mkandarasi wa barabara ya Tarime Mjini - Nyamongo awe makini baada ya kurundika kokoto barabarani, sasa wananchi wanazichota usiku kwenda kujengea majumbani kwao.
Mkandarasi na Jeshi la Polisi...
Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe.
Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa.
Vipi hali ya...
Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia...
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi.
Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha...
Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema...
Kampuni ya Ardhisol ni moja ya kampuni zinazofanya shughuli za upimaji wa maeneo!
Hawa jamaa wamekuwa wakizunguka kwa wananchi na kuwashawishi wawape viwanja kwa ajili ya kuvipima, na wao...
Ninawajulisha tuuuu,mpita njia wenu.
CC:-
Afisa Elimu Kata (Limemshinda au kajiongeza)
Afisa Elimu Wilaya (Hasomeki,vikaoni haendagi)
Afisa Elimu Mkoa (anajua mambo saafi kwa wa chini yake)...
Kuna tukio linaendelea Lindi katika shule ya Lucas Malia ya wanafunzi wa kike.
Wanafunzi wamechelewa kuripoti na walimu wamekataa kuwapokea tangu Jumapili ya Julai 9, 2023 hali iliyowafanya usiku...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2020/2021 ilikuja na wazo zuri la urasimishaji wa Makazi Holela kwenye Majiji na miji mbalimbali. Wananchi wengi walijenga nyumba kwenye mashamba...
Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe.
Mpishano wa magari...
Wakuu,
Hii ni hospitali ya Amana, Kivule. Vyombo vya kuhudumia wagonjwa na kufanyia upasuaji vinasafishwa kwa maji ya baridi ya bomba bila hata kufuata taratibu sahihi za kuvitakasa.
Huu ni...
Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations"
Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021...
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada...nimekutana na kijana mmoja akawa ananisimulia kuhusu unyanyasaji anaopitia mwanamke hyu kutoka familia za kijijini ukweli inasikitisha sana, kisa...
Naishi kanda ya kaskazin huku huduma za afya ni nzuri kwa wateja wa bima kwakuwa watu walioelimika ni wengi ( watu wanatambua haki zao).
Kuna ndugu yangu anapata huduma katika hospital ya walaya...
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani.
Tukio hilo limetokea...
Siku za hivi karibuni hawa watu wa mabasi yaendayo Kasi(UDART) Wameanza wizi wa wazi wazi. Ukienda kukatq ticket halafu ukatoa hela kubwa zaidi ya gharama ya ticket yako wanakuambia uwaongezee...
Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee...
Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu...
Hawa viongozi ni wala rushwa wakubwa wanasababisha wakazi wa eneo lile tuteseke kwa harufu kali sana wakati wa usiku inayotokana na mabaki ya kuku.
Iko hivi...
Nyuma ya kituo cha daladala cha...
Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.