DOKEZO Threads

Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji...
1 Reactions
12 Replies
935 Views
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Anonymous
DOKEZO
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana... Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika. Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza...
4 Reactions
9 Replies
965 Views
Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza...
1 Reactions
2 Replies
996 Views
Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao. Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya...
5 Reactions
22 Replies
6K Views
Naam, habari zenu wanajukwaa. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkoa wa Morogoro wilaya za Malinyi ,Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero hakuna mafuta ya petrol wiki sasa, imefika tunashangaa hakuna tamko serikalini. Hii imeleta usumbufu mkubwa sana kwa...
0 Reactions
9 Replies
928 Views
Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangu kampuni ya ulinzi ya SUMA JKT itolewe kufanya kazi Kigamboni Ferry, kumekuwa na usumbufu mkubwa na sina shaka kukosekana kwa mapato kutokana na mfumo mbovu wa hii kampuni binafsi ya ulinzi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za mda huu, Tunapenda kutoa Malalamiko yetu sisi wafanyakazi na viongozi wa wafanyakazi, (sababu hatuna sehemu ya kwenda kusemea, kwani kila sehemu DAWASA imeweka mkono wake na kuzuia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Traffic wilaya ya Sengerema wanatakiwa wazinagatie taratibu za kazi zao badala ya kuwakomoa hasa wenye private cars. Siku moja nilisafiri kuelekea Geita kupitia Busisi. Nimevuka kivuko salama na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku...
1 Reactions
4 Replies
964 Views
Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka...
2 Reactions
2 Replies
527 Views
Back
Top Bottom