DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway “SGR” kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza unaendelea ukiwa na jumla ya Kilometa 1,219, bado kuna mambo kadhaa hayaendi sawa. Licha ya Serikali ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu? Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo. DAWASA Kibaha wanapokea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Habari, Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au Malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari. Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi...
19 Reactions
145 Replies
8K Views
Anonymous
DOKEZO
Kwako Serikali yangu pendwa. Niliamua kukaa kimya ila baada ya kuona mambo yameanza kuniendea vibaya kabla sijaanza chuo imenibidi niikumbushe serikali yangu pendwa. Kitendo cha Serikali Kuondoa...
2 Reactions
5 Replies
510 Views
Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Salam! Huduma ya kupata TOKEN za maji uliyonunua kwa njia ya mtandao ni shida. Unanunua maji ni kama una bet, inaweza usipate sms ya token, na ikirudi huchukuwa masaa. Kupiga huduma kwa wateja...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Anonymous
DOKEZO
Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi. Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Juni 2023 (sikumbuki tarehe rasmi) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitoa taarifa kuwa hadi kufikia Desemba 31, 2023 kila mtu mzima Nchini Tanzania anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN)...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta. Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha. Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro “Naomba...
19 Reactions
84 Replies
9K Views
Anonymous
DOKEZO
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Masasi, Nachingwea(MANAWASA) ni taasis ya serikali kama taasis nyingine lakini ni taasis ambayo inaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja tuu ambaye ni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya...
0 Reactions
3 Replies
775 Views
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu Kwa niaba...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha. Ni miezi mitatu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Hii ni Shule ya Msingi Shungubweni, ipo Tarafa na Kata ya Shungubweni, Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa Pwani. Kama inavyoonekana hapo ndani haikidhi kabisa kwa matumizi ya Wanafunzi kwa kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii ni taarifa ambayo si ya kupuuzwa hata chembe, mambo yenu ya kuitisha Mkutano wa hadhara ili kuelimisha umma kuhusu Mkataba wa kutia aibu wa Mauzo ya Bandari haujawafurahisha madalali na wako...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom