DOKEZO Threads

Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Tuma timu yako kwa namna inayofaa leo tarehe 01.10.2023 wakajiridhishe namna Trafic wanavyokomoa Madereva hasa wa Bajaji katika eneo hilo. Leo nimepita Mandela Road Dar es Salaam nimeona...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Katika mji wa Tukuyu-wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kumekuwa na mgao wa upendeleo kwani kuna mitaa inakosa maji kwa miezi kadhaa na bill tunakula. Mfano mtaa wa Tanesco Power Station- chini...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Anonymous
DOKEZO
Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
E-GA ni taasisi inayoratibu serikali mtandao, ni taasisi ambayo inajenga mifumo karibu mingi sana inayotumika na serikali. Serikali imeokoa pesa nyingi sana kutoka nje ya nchi na imetoa ajira kwa...
38 Reactions
236 Replies
21K Views
Huku kwetu mtaa ya Mbezi ya Chini (Mbezi Chini) kuna changamoto moja ambayo imekuwa kero kwa watu wengi kuhusu uzoaji taka. Iko hivi, mamlaka za Serikali za Mtaa za mitaa ya Mbezi Chini, Afrikana...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu DAWASA leo naomba kuwafikishia malalamiko yangu kuhusu ubovu wa huduma zenu. Kuna shida ya Maji katika mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, Takriban Wiki 2 sasa Maji hayatoki...
0 Reactions
9 Replies
876 Views
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Inashangaza kwa hospital kama hiyo kuwa na wahudumu wababaishaji ambao wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kila namna. Next time nitawataja kwa majina msipojitekebisha. Mtu anaenda na kadi ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya. Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
532 Views
Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi. Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Anonymous
DOKEZO
Sisi Watarajali (Interns) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Hospitali ya Mawenzi) tunapitia katika changamoto zenye kuleta ugumu mkubwa katika maisha yetu ya kulitumikia Taifa katika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi, Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea. Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA)...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Bima ya Afya kwa wanafunzi wa Vyuo ni tatizo kubwa. Mtu unalipia bima Lakini kadi hupati zaidi ya miezi saba. Wanafunzi wamelipa tangu mwezi wa tatu kadi za bima hazijatolewa na ukiuliza...
1 Reactions
2 Replies
390 Views
Anonymous
DOKEZO
Rejea kichwa hapo juu, kwa niaba ya Freelancers wote Tanzania wanaofanya kazi chini ya Tigo Tanzania inayoendeshwa na kampuni mama Honora Tanzania PLC pamoja na kampuni shirika zinazosimamia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom