DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa. Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000...
21 Reactions
157 Replies
9K Views
Mkuu wa Usalama wa taifa Wilaya ya Singida, Joseph Komba, anadaiwa kunyanyasa sana Askari wadogo kwa sababu inayodaiwa yupo karibu na OCD na mshauri wa Mugambo wa Wilaya. Pia inadaiwa amekuwa...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Wagonjwa na ndugu zao wanaingizwa gharama za ziada zisizo na ulazima. Mgonjwa wangu ametoka kanda ya ziwa amefika Muhimbili wiki 2 zilizopita, hadi leo hakuna huduma yoyote ya kibingwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Takribani mwezi Sasa wananchi wa Mtaa wa Losirway uliopo Kata ya Moshono Jijini Arusha hawajapata maji. Hali hii imepelekea kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka wa wananchi wa Mtaa huo. Pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Ndg Wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu. Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na...
26 Reactions
122 Replies
10K Views
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio...
30 Reactions
127 Replies
12K Views
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Rais naamini upo kwaajili ya kutetea maslahi ya watu wa nchi hii. Uliamua watumishi wote waliotolewa kazini kwa matatizo ya vyeti walipwe stahili zao. Napenda kukufahamisha kuwa hadi leo hii...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO
Habari Watanzania, Nawasalimu kwa jina la muungano.. Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu...
11 Reactions
162 Replies
8K Views
Anonymous
DOKEZO
Mwaka 2020 Kijiji cha Shungubweni, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, sisi Wananchi wa Wilaya kwa kushirikiana na Mbunge wetu Abdallah Ulega tuliwasilisha maombi ya kujengewa Chuo cha Ufundi Stadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima...
18 Reactions
100 Replies
7K Views
Habari zenu wadau. Bila shaka mpo poa aisee, mimi sitochoka kuongea tafadhari ebu wizara husika kupitia vyombo kama PCCB piteni kwenye ma halmashauri ya wilaya mkague pesa za kujikimu. Tunapitia...
33 Reactions
192 Replies
11K Views
Habari, nawasalimi kwa jina la muungano...... Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kumkataa mtoto kumpokea ikiwa tu hajamaliza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom