DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida...
1 Reactions
4 Replies
577 Views
Kesi nyingi zinazopelekwa kituoni hapo zinashindwa kupata ufumbuzi wala kupelekwa mahakamani kwa kuwa askari wenye dhamana kituoni hapo wamekithiri katika uombaji wa rushwa. Watu wengi wanawekwa...
2 Reactions
3 Replies
629 Views
Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai...
1 Reactions
4 Replies
748 Views
Itenzi secondary iliopo Mbeya jiji maeneo ya Uyole, watoto wakishindwa kufika shule wanaambiwa walete tofali za block tano kama adhabu yake. Sasa kuna wanafunzi wameshindwa kufika shule kwa siku...
1 Reactions
1 Replies
401 Views
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari, Huyu jamaa Kuhani Musa Richard Mwacha wa Kimara temboni ni muhuni na hafai kuwa kiongozi wa dini. Kwanini nasema hivi? Kila siku ya leo ana ibada ambayo huenda mpaka saa nne hivi ya...
35 Reactions
108 Replies
8K Views
Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa...
0 Reactions
2 Replies
610 Views
Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Kituo cha daladala Kawe ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa kituo hicho, Kituo hakina ukarabati wowote, iwe masika na kiangazi, hakuna nafuu, ikiwa kiangazi kituo kinapambwa kwa mashimo na mabonde...
3 Reactions
6 Replies
761 Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga...
0 Reactions
6 Replies
564 Views
Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom