DOKEZO Threads

Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini...
1 Reactions
3 Replies
778 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...
0 Reactions
10 Replies
780 Views
Mheshimiwa Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana jf, Diwani wa kata ya Ikunguigazi, iliyo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, ndugu Paulo Lutandula, ameshindwa uzalendo na kuamua kutumia maneno ya vitisho na chuki dhidi ya Mwalimu wa...
3 Reactions
10 Replies
918 Views
Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Huyu Bwana Mwita Muhochi ni mtu wa rushwa na hana msaada kabisa kwa wakandarasi. Ni mnyanyasaji na hana roho ya utu. Yeye anadhani yupo ofisini kwa ajili ya tumbo lake na si kuhudumia umma wa...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
TANESCO Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi? Kiukweli hili linachosha...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE. Pili...
1 Reactions
6 Replies
916 Views
  • Closed
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa...
123 Reactions
344 Replies
23K Views
Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa. Dada yangu ameahidiwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu zangu GT nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya salamu niingie moja kwa moja kwenye mada. Nisikitike kwamba Serikali yetu ya JMT chini ya Jemedari wetu mwana mama...
8 Reactions
141 Replies
9K Views
Anonymous
DOKEZO
Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu! Jana asubuhi nilikuwa maeneo ya Kimara Temboni Upande wa kuelekea Mbezi huwa zinapaki Bajaji pamoja na Bodaboda kwa wingi, Kwa ndani kidogo kuna round about halafu kuna Mgahawa, nilienda...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zimepita siku mbili sasa sina huduma ya maji, hii ni baada ya kuibiwa mita ya maji na wezi usiku. Walifika wakafungua mita ya maji kisha wakaondoka nayo, tumekuja shituka asubuhi tunakuta maji...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi! Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu...
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom