DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO
Nikiwa nimekaaa kijiweni, jamaa mmoja anasema wazi wazi mkewe anapokea mshahara pasipo Kufanya kazi Serikali ila mpunga kila mwezi unaingia na hili anadai ni kwa watu wengi huo mtindo ndo habari...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Anonymous
DOKEZO
Kama unashindwa kulipia mzigo wako hauwezi kutoka ukifika port of discharge, ina maana wanapingana na agizo la Waziri wa Fedha kuwa malipo yote tufanye kwa Tsh, na kwanini tulipe kwa dollars...
0 Reactions
3 Replies
319 Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
19 Reactions
117 Replies
4K Views
Hii ni aina mpya ya pombe ambayo kwa sasa inapatikana jijini hapa, katika baadhi ya maeneo haswa yenye mkusanyiko wa watu wengi wa hali ya chini Aina hii ya pombe inatengenezwa hapa hapa Arusha...
21 Reactions
50 Replies
7K Views
Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza...
30 Reactions
186 Replies
9K Views
Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi. Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi...
3 Reactions
6 Replies
547 Views
Kumekua na tatizo la maji kwa zaidi ya wiki sasa maeneo ya Kimara Temboni kwa Msuguri. Taarifa zilizopo ni kuwa kumekuwa na tabia chafu ya watumishi wa DAWASA kuchepusha maji kwa nia ya kufanya...
2 Reactions
1 Replies
366 Views
Anonymous
DOKEZO
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za...
6 Reactions
8 Replies
866 Views
Anonymous
DOKEZO
Habari wakuu, Tafadhali kuna suala la kufuatilia kuhusu uwepo wa Walimu wasio wataalamu kufundisha masomo wasioyafahamu. Tunaomba mamlaka husika zisaidie kufichua haya. Somo la Microbiology...
1 Reactions
11 Replies
363 Views
Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Jinsi Vyama vya Ushirika vinavyodhulumu na kuwaibia pesa Wakulima wa zao la ufuta Tunduru. Mwaka huu soko la zao la ufuta linasumbua, hii namaanisha bei kushuka kila mnada Mfano Mnada wa kwanza...
0 Reactions
1 Replies
256 Views
[Picha: Wiki How] Tupo kipindi ambacho wizara ya Elimu inapambana katika kuleta mabadiliko katika elimu hasa katika mafunzo ya walimu. Ila kulinga na muongozo mpya ambao umetoka ili walimu...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii. Nilikuwa...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
Wanafunzi wa Diploma ya Utabibu wanafukuzwa wodini bila sababu ya msingi na kubaguliwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.
1 Reactions
5 Replies
320 Views
Anonymous
DOKEZO
Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumekuwa na tatizo la ukosefu wa uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi wa hospitali ya Manispaa ya Kahama mjini kwani kero ni nyingi wanazokumbana nazo wafanyakazi ikiwemo waajiriwa wapya wa...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Anonymous
DOKEZO
Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili...
1 Reactions
5 Replies
767 Views
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri? Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu...
1 Reactions
7 Replies
500 Views
Anonymous
DOKEZO
Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote. Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto...
2 Reactions
8 Replies
349 Views
Anonymous
DOKEZO
MALALAMIKO KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU WOLFGANG M.TURUKA. Tangu tarehe 14/9/2020 ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha...
4 Reactions
15 Replies
634 Views
Back
Top Bottom