DOKEZO Threads

Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna mgogoro wa ardhi, mtaa wa Majengo mapya - jeshini, kitongoji cha Itumbi, kata ya matundasi, wilayani Chunya. Mwenyekiti wa kitongoji anaamrisha wakazi wa eneo hilo kuhama eneo hilo ifikapo...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Anonymous
DOKEZO
Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi. Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Anonymous
DOKEZO
Habari ya za majukumu wakuu, mwaka jana Jeshi la uhamiaji Tanzania waliitisha mkutano katika kijiji cha Vuo wilayani Mkinga ili kuelezea wananchi wa kijiji hicho juu ya adhma yao ya kuongeza eneo...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Anonymous
DOKEZO
Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa. Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki...
0 Reactions
10 Replies
478 Views
Anonymous
DOKEZO
Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki...
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Anonymous (8dcc)
DOKEZO
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
36 Reactions
162 Replies
13K Views
Anonymous
DOKEZO
Huku kwetu Pugu - Kinyamwezi tuna changamoto ya kikundi cha Watu ambao wamekuwa wakifanya matukio ya utapeli wa ardhi kwa muda mrefu, hawaogopi Serikali wala Vyombo vya Usalama. Wamekuwa...
2 Reactions
6 Replies
623 Views
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji...
1 Reactions
1 Replies
241 Views
Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Chuo cha kampala kinadahili wanafunzi wengi kuliko capacity yake. Kwa mfano sisi mwaka wa kwanza ilitakiwa wachukue wanafunzi 150 tu lakini walichukua watu Mia tatu na kitu Pili hakina walimu wa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao. Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu...
14 Reactions
91 Replies
6K Views
Halmashauri ya Kibaha Mjini imeanzisha oparesheni kamata kamata na kufunga biashara tangu wiki iliyopita. Wanafika kwenye sehemu za biashara wakikuta unadaiwa kiasi chochote kile wanakutoa kwenye...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO
WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA INVYOWADHARAU WATUMISHI WA UMMA 1. Wizara ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa UMMA nna Utawala Bora ilitoa waraka au tuseme kibali cha upandishaji madaraja kwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau mwenye uelewa wa sheria za nactvet. Hivi ni lazima kwa wanafunzi wa certificate na diploma kulipa ada ya mahafali ndio wafanye mitihani. Baadhi ya wanafunzi wamezuiliwa kufanya mitihani yao...
2 Reactions
4 Replies
342 Views
Hawa mawakala wanaoingia mkataba na Halmashauri za Wilaya kukusanya mapato wanawapunja sana hizi Halmashauri na Halmashauri zinatakiwa zijitathmini sana. Nitoe mfano ulio hai hapa Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na...
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Back
Top Bottom