Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo.
Taja jina la mrithi wa DC...
Leo tumeshuhudia miaka 60 ya jeshi letu, tumefurahi, tumekunywa na tumekula. Hongereni sana.
Changamoto yangu katika jeshi letu limewasahau wazee wetu waliopigana vita vya Kagera pasipo kuwapa...
Wanabodi
Nina jambo nimepenyezewa na mdau wa Wizara ya Uvuvi kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Uvuvi hasa ufugaji wa samaki au viumbe wa majini.
Unaambiwa Waheshimiwa wa hiyo Wizara...
Mimi nilifanya mafunzo ya internship nikiwa kama daktari katika hospitali ya Lugalo kuanzia Nov 2021 mpaka Nov 2022. Hospital ina utaratibu wa kulipa call allowances kwa madaktari na nurses...
Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika...
Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa
Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana...
TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme!
Ukienda...
Kumekuwepo na malalamiko makubwa kuhusu uwekezaji uliofanyika katika soko la CCM Katoro Geita, Wapangaji waliolipia vyumba katika soko hilo mwekezaji alidai kwamba wanalipia kwa kununua saiti...
Kumekuwa na vitendo vya ufisadi unaofanywa na baadhi ya watumishi wa manispaa ya Ubungo kitengo cha wakusanya ushuru pale stendi ya mabasi Magufuli.
Wakusanya ushuru Hawa kwa kushirikiana na...
Wakuu,
Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa...
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Mama Samia , Katika halmashauri iliyojaa wizi ni hii, bahati mbaya sana janja janja hutengenezwa na kupewa Hati safi.
Nendeni mjionee ni nyumbani Kwa Mwl Nyerere lakini majizi hayana Aibu ...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi...
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila...
Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo.
Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila...
Kauli iliotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha imenisikitisha sana.
Kauli hiyo kwa upande wangu naiona kama ya ubaguzi kwa baadhi ya Wananchi ambao wanamtazamo totauti na...
Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.