DOKEZO Threads

IKUNGI-SINGIDA, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Anonymous (41ab)
DOKEZO
Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria...
0 Reactions
12 Replies
887 Views
Anonymous
DOKEZO
Habari Wanajamvi, Tunapoelekea kwenye suala la Uchaguzi nchi imeendelea kuchafuka kweli, matukio ya utekaji na kupotea watu yanazidi kuongezeka. Baadhi ya Wananchi hususan wafuasi wa Vyama vya...
2 Reactions
10 Replies
421 Views
Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mpululi, Dodoma anagawa anawapora ardhi Wananchi wanyonge kisha anawapa vitisho Mtaani kwetu tuna Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ambaye amekuwa akiwaliza watu...
2 Reactions
2 Replies
373 Views
"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni", katika hali ya kushangaza katika soko la Vingunguti lililopo jijini Dar es salaam ambapo huchinjwa zaidi ya ng'ombe 500 kwa kila siku, ni kwamba kati ya...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila...
1 Reactions
15 Replies
754 Views
Kwa masikitiko makubwa ni fedhea kwa kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa Virutubisho (Supplements) na bidhaa za usafi kama NeoLife kushindwa kuhifadhi Tarifa binafsi za wateja wake kama...
1 Reactions
3 Replies
432 Views
NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
3 Reactions
0 Replies
501 Views
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la...
12 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin. Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani...
14 Reactions
87 Replies
4K Views
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi...
15 Reactions
146 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO
Uongozi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi wote waliodhulumiwa madaraja miaka ya nyuma. Kuna wafanyakazi wameajiriwa Toka 2006 lakini wanalingana mishahara na...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Anonymous
DOKEZO
Mpango mkakati wa viongozi wa Chama cha mawakala wa Bima Tanzania(IAAT) kubakia madarakani baada ya muda wao kupita maradufu. Uchaguzi wa viongozi wa chama cha mawakalla wa bima Tanzania (IAAT)...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa...
2 Reactions
27 Replies
720 Views
Anonymous
DOKEZO
Mzazi wangu ni mmoja wa Wazee ambao wamestaafu utumishi katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mzee wangu na wenzake wengi waliostaafu Mwaka 2004, 2005 na 2006 hawajalipwa stahiki...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO
Mimi ni mtoto wa mmoja wa Wazee Wastaafu wa Kiwanda cha Maturubai (CANVAS) mkoani Morogoro ambao wamekuwa wakidai fidia zao kwa zaidi ya miaka 25 sasa bila mafanikio yoyote huku ikisemekana kwamba...
2 Reactions
6 Replies
747 Views
Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat...
8 Reactions
109 Replies
5K Views
Anonymous
DOKEZO
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi. Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna...
3 Reactions
6 Replies
447 Views
Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni...
29 Reactions
241 Replies
25K Views
Back
Top Bottom