Wapendwa habarini.Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo Dodoma.Nina nyumba yangu nimeijenga Boko. Nilimaliza kuijenga Mei mwaka huu na Juni nikapata Mpangaji(Mme na Mkewe).
Nilishukuru maana Mpangaji...
Natuma kwa niaba ya ndugu yangu
Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya...
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar.
Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma.
1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache...
Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere iko mkoa wa Shinyanga halmashauri ya Msalala na matokeo ya kidato cha tano & sita wasichana (PCM na PCB tu) wastani wao wa kufaulisha unakaribiana sana na...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimanjaro Christian Medical University College(KCMUCo), naiomba tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) iwe inafanya ukaguzi kwenye vyuo kujiridhisha kama utaratibu...
Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya...
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40%
Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35%
Huu mfuko...
UTANGULIZI
Katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kubadilika, mchakato wa uchaguzi unachukua nafasi muhimu katika demokrasia ya nchi. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazokabili mchakato...
Wakati baadhi ya Halmashauri zikitenda haki kwa watumishi na kufuata miongozo ya TAMISEMI katika zoezi, tumebaini kuna baadhi ya Halmashauri kazi ya upigaji na kujitajirisha watu wachache kwa...
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi.
Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na...
Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule.
Kila siku mnawadanganya...
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba...
Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri.
Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu...
Utangulizi:
Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora.
Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya...
Kwenda: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania – TCU 23 Julai 2024
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph kilichopo Mbezi Luguruni, Dar es Salaam, ambacho kinatoa kozi mbalimbali za sayansi, ikiwemo...
Wakazi wa Kipunguni kata ya Kipawa walifanyiwa tathmini 2022 ili kupisha upanuzi wa Uwaja wa Ndege wa JKIAP na zoezi kwenda vizuri lakini fidia zao zimekuwa kizingumkuti toka 2022, na Waziri wa...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa...
YAH: MALALAMIKO JUU YA TAASISI ZA MIKOPO MTANDAONI
Kama mnavyojua changamoto zipo kwa Kila mtu hasa upatikanaji wa fedha pale unapokuwa umepata shida ya ghafla yenye uhitaji wa pesa au changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.