Mamlaka ya usimamizi wa usajili wa majini TASAC katika mkoa wa Mwanza, wameendelea kwa muda sasa kufanya jambo la hatari kwa maisha ya watu na mali zao kwa kushindwa kusimamia usafiri wa Majini...
Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati...
Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu.
Yaani sioni umuhimu wa wao kuweka namba za simu kama mtu unaweza kupiga kwa dakika 30 na haipokelewi.
Pia mfumo haukubali mabadiliko, mfano...
Wakulima wa mahindi katika kituo cha NFRA cha kununulia mahindi kilichopo kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga vijijini hawajalipwa na NFRA pesa za mauzo ya mahindi kwa zaidi ya mwezi mmoja...
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.
Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika...
Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini.
Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi...
Hii tetesi itazaa taharuki kubwa sana, kwa vyanzo vya uhakika vitakapo sema ndio itakuwa taarifa rasmi. Iko hivi
👇
Ndizi Mbichi zikiwasili DSM zikiwa mikononi mwa wawekezaji wa biashara hio...
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa...
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala...
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia...
Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano...
Kwanini katika zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuandikisha wapiga kura, watumishi wanaofanya kazi hiyo kulipwa kiasi Cha pesa tofauti tofauti katika majimbo ya uchaguzi nchini wakati kazi...
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia.
Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo...
Kiwanda hicho ambacho ni mali ya serikali kwa sasa hakifanyi kazi kimeuzwa kwa thamani ya shilingi bilioni 3 wakati thamani halisi ya kiwanda hicho ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 157...
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50...
Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili
1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu?
Ninaleta mada hii kutoka...
TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira...
Habari wanabodi
Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi.
Utafiti wangu nilioufanya...
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.